Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo FURSA/UJASIRIAMALI. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo FURSA/UJASIRIAMALI. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 23 Agosti 2018

Kilimo Cha Nyanya



Biashara Itakayokupatia Milioni Tano Baada Ya Miezi Mitatu

KILIMO CHA NYANYA
Ndio, kilimo cha nyanya. Tembea kila kona ya Tanzania, nyanya inaliwa kila mahali, kwa hiyo kulima nyanya utakuwa na uhakika wa kupata soko. Nyanya inastawi katika maeneo mengi nchini hivyo ukilima katika eneo ulilopo unaweza kupata mavuno mengi. Kilimo cha nyanya kinawatajirisha watu wengi, hilo nimejiridhisha nalo sina wasiwasi.
Nakushauri uanze kulima nyanya mwezi huu wa Septemba ili kufikia mwezi wa kumi na mbili uanze kuvuna na upate million tano yako.
Mimi nimeamua kulima nyanya; maandalizi ya awali yamekamilika ikiwa ni pamoja na kuandaa shamba la ekari moja, kusia mbegu za nyanya na kutafuta mbolea ya samadi, yote hayo tayari nimeyafanya; sasa  naenedela kuandaa shamba wakati mbegu zinakua.

Tukutane Mwezi Disemba Nikuonyeshe Milioni Tano Yangu
Sikutanii wala sijisifii, nataka nikuone na wewe unachukua hatua uanze kucheza mchezo wa kutafuta pesa. Sipendi kukuona ulalamika na kunyong’onyea kisa huna pesa, nataka nikuone unafanikiwa, ndiyo furaha yangu ndiyo maana nakueleza mambo kama haya ambayo kwa kawaida ni siri yangu.  Lakini kwa vile nataka nikuone unaanza kucheza mchezo huu hata kama ni kidogo itakuwa vizuri, ukirudia tena utafanya makubwa zaidi.

Sitaki kusema maneno mengi, ufuatao ni mchanganuo wa kilimo cha nyanya ninacholima mimi. Unaweza kuandaa wa kwako utakapo anza kulima.

 KILIMO CHA NYANYA
Awamu ya Kwanza: Septemba 2015
S/No      Mahitaji          Idadi/Kiasi  Gharama        Jumla
1.          Kulima shamba       Ekari 1         40,000/=
2.          Kuandaa matuta     Ekari 1         50,000/=
       Jumla ya gharama zote za kuandaa shamba 90,000/=
3.         Kununua mbegu      Packet 4       28,000/=
4.         Kuandaa kitalu cha kusia
        mbegu na kumwagilia
        mbegu                     5m2             10,000/=
  Jumla ya maandalizi ya mbegu                        28,000/= 
5.         Kupanda miche shambani   Ekari 1     50,000/=
6.         Mbolea ya samadi              Trip 5         25,000/=
7.         Kununua jenereta                    1       500,000/=
8.         Kumwagilia (mafuta)         Mara 10     250,000/=
9.         Kupalilia                            Mara 2       20,000/=
   Jumla ndogo                                                    845,000/=
10.     Mbolea ya kuzalishia (CAN) Kilo 10     50,000/=
11.     Madawa ya kutibu magonjwa ya nyanya  40,000/=
12.     Kuvuna                              mara 4        100,000/=
Jumla     ndogo                                              190,000/=
JUMLA YA GHARAMA ZOTE                          1,163,000/=
Mavuno ya nyanya kwa ekari moja ikitunzwa vizuri yanaweza kufikia tani arobaini (40) sawa na madebe 2,200 ya lita ishirini. Lakini kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, magonjwa na sababu nyingine, kiwango cha chini cha kuvuna nimeweka tani kumi na nane (18) sawa na madebe 1000 ya lita ishirini.
Debe moja la nyanya hapa Bariadi linauzwa kwa Tsh 10,000/=.  Labda kutokana na mabadiliko ya bei sokoni, bei ya chini ninayoweza kuuzia iwe Tsh 8,000/= kwa debe.
Nitavuna jumla ya madebe 1,000 na kila debe nitauza kwa Tsh 8,000/=, nitapata jumla ya Tsh milioni nane 8,000,000/=.
Jumla ya mauzo yote                      8,000,000/=
Jumla ya gharama zote                   1,163,000/=
Jumla Ya Faida nitakayopata      6,837,000/=
JUMLA YA FAIDA NITAKAYOPATA KWENYE MRADI HUU AWAMU YA KWANZA NI TSH 6,837,000/=
Huna Milioni Moja, Utafanyaje Kupata Mtaji Wa Kuanzia?
Naomba nikutoe hofu juu ya hilo, ukiangalia kwa makini kwenye jedwali la mchanganuo hapo juu, utagundua kuwa gharama nyingi nilizozitaja ni za vibarua ukitoa gharama za jenereta, kununua mbegu, mbolea ya kuzalishia na dawa za kutibu magojwa. Gharama zingine unaweza kuziepuka kama utashiriki wewe mwenyewe kwenye shughuli hiyo bila kutegemea vibarua.
Njia Nzuri Ya Kupata Shamba Na Mahitaji Mengine
Mimi wakati naamua kulima nyanya sikuwa na shamba la kulima, nilizunguka zunguka huko kijijini nafuta shamba la kulima angalau ekari moja. Haikuwa kazi rahisi wala sikufanikiwa kupata shamba kabisa. Baadaye nilimkuta mzee mmoja anashamba zuri sana lenye rutuba na liko karibu na bwawa la maji. Nikaongea na mzee huyo na kumwomba kama ataniruhusu niungane naye kulima nyanya, tuupanue mradi uwe mkubwa zaidi. Nikampa maelezo mengine mengi nikamweleza faida atakazo pata, hatimaye mzee akakubali. Kwa njia hiyo nikawa nimepata shamba  bure na mbolea ya samadi ya bure maana mzee anafuga ng’ombe. Gharama pekee ni kuisafirisha mbolea kuipeleka shambani. Kupitia ushirika huo nilioupata japo sikuwa na mwenyeji hata mmoja, sasa ninauhakika kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa.
Njia Hii Aliitumia Rafiki Yangu Na Akafanikiwa.
Kuna rafiki yangu mmoja tumesoma naye kidato cha tano na sita pale Milambo High School, kwa sasa yuko Mwanza amehitimu chuo cha SAUTI mwaka jana. Baada ya kumaliza masomo, hakuwa ana fahamiana na mtu yeyote pale jijini Mwanza zaidi ya marafiki zake tu aliosoma nao chuoni. Siku moja akaanza kutembea mjini akitafuta fursa, akafika sehemu fulani hivi akamkuta mzee mmoja anafuga kuku wachache wa kienyeji , rafiki yangu alipowaona hao kuku alifurahi sana. Akamtafuta yule mzee akafanya nae mazungumzo ya kuupanua mradi akamwambia faida atakazo zipata baada ya mwaka mmoja. Yule mzee alifurahi kweli akamkubalia rafiki yangu, kazi ikaanza. Nakawambia mpaka sasa wanafuga kuku zaidi ya elfu nne ndani ya miezi minnne tu, na wanatarajia kuwa na kuku elfu kumi na mbili ifikapo mwezi Disemba mwaka huu.
Tumia Njia Hiyo Utafanikiwa Tu
Kama mimi nimetumia njia hiyo na nimefanikiwa, kama rafiki yangu alitumia njia hiyo na akafanikiwa na wewe tumia njia hiyo upate mahali pa kuanzia nina uhakika utafanikiwa. Kumbuka kutafuta pesa ni mchezo, cheza kwa furaha,  bila hofu moyoni mwako hakika utashinda na kufanikiwa.
Mbegu Gani Ya Nyanya Nzuri?
Baada ya kuuliza uliza watu wengi na wataalamu wa kilimo, wamenishauri nilime aina ya Mwanga.  Wanasema ina mavuno mengi na ganda lake ni gumu na inavumilia magojwa mengi. Mahali unapoishi ulizia nyanya aina gani inakubalika sokoni, utapata jibu. Mbegu zingine nilizozikuta madukani ni Tanya, Cal J, Tengeru 97, Iffa, Mkulima, Maoney maker na nyingine nyingi. Fanya utafiti wako ujue ni ipi inafaa.
Tulime Pamoja
Nachukua nafasi hii kukukaribisha uambatane nami kwenye kilimo hiki cha nyanya. Unaweza ukawa na uzoefu mkubwa wa kilimo hiki tafadhali weka maoni yako hapa chini kwenye kibox cha comment ili utusaidie na sisi ambao ndio tunaianza kazi hii au unaweza kuniandikia kupitia email yangu morningtanzaniasite@gmail.com. Pia wale watakao kuwa na maswali yoyote wanaweza kuniuliza kwa email hiyo au kwa kuandika kwenye kibox cha comment.
“Kama mimi nimetumia njia hiyo na nimefanikiwa, kama rafiki yangu alitumia njia hiyo na akafanikiwa na wewe tumia njia hiyo upate mahali pa kuanzia nina uhakika utafanikiwa”

Jumamosi, 16 Aprili 2016

Hivi Ni Vyanzo 5 Vya Bahati Mbaya


Hizi ni baadhi tu ya kauli za baadhi ya watu ambao ni wafuasi wakubwa wa kitu kinachoitwa bahati mbaya;
“Alikuwa anavuka barabara, lakini kwa bahati mbaya akagongwa na gari.” “Nimemaliza masomo yangu mwaka jana, lakini kwa bahati mbaya nikafeli.” Kwa bahati mbaya biashara yangu ilisambaratika.” “Kwa bahati mbaya alifukuzwa kazi.” Imetokea kwa bahati mbaya” Nimebata bahati mbaya Mume wangu hanifai hata kidogo.” “Kwa bahati mbaya alijifungua mtoto aliyekufa”. Hebu tujifunze vyanzo vya bahati mbaya na namna ya kuepukana navyo, ili tusijikute kila siku tunalaumu kupatwa na bahati mbaya kumbe makosa ni yetu na kwamba hatukuwa makini katika kuishi kwetu.

1. Uzembe wa Kufikiria
Watu wengi wanaoamini kuwepo kwa matukio ya bahati mbaya katika maisha wanaelezwa na wataalamu kuwa na kasoro katika upeo wa kufikiri vyanzo vya mambo. Inasemwa na watafiti wengi kuwa matukio mabaya yaliyopata kuripotiwa ulimwenguni ni ma

Jumatano, 13 Aprili 2016

MBINU 15 ZA KUPATA UJASIRI NA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA

 Image result for jinsi ya kupata mafanikio katika maisha
 
1. Kutoshindana na waliofanikiwa.
Daima mtu ahakikishe anawafanya waliofanikiwa wajione wapo juu. Kama mtu anataka kuwashangaza basi asionyeshe ujuzi wake wote.

Kuwapa waliofanikiwa heshima yao kutamfanya mtu apate msaada na hatimaye afikie kiwango cha juu bila ya kupata tabu nyingi.

Mfano, mtu asishindane na mwajiri wake ili kuonekana anajua sana; asishindane na tajiri katika matumizi hususani mazingira ya kijamii kama baa, misiba n.k. Waliofanikiwa hutafsiri kitendo cha kushindana kama kuonyesha kiburi au maskini jeuri.

2. Kutoamini sana marafiki.
Mtu awe makini 'anapojamiiana' na marafiki au watu wa karibu. Watu wa karibu huwa wasaliti na huvujisha siri kwa wapinzani. Mtu aogope marafiki zaidi ya maadui, ikibidi awape nafasi wale anaohisi ni wapinzani. Ilkiwa mtu han

Kila Changamoto Ina Fursa Ndani Yake. Ziangalie kwa Makini


Habari yako Ndugu na Rafiki yangu mpenzi.

Katika maisha haya tunayoishi, tunakutana na changamoto nyingi sana, wengine hukata tamaa, huishia kulalamika, kulaumu wengine n.k.

Lakini ukweli ni kwamba katika changamoto nyingi tunazokumbana nazo zimebeba majibu yake, na ndani ya majibu hayo kuna fursa nzuri. Hebu pitia kwa ufupi tu kisa hiki cha baba na mwanaye......

Baba mmoja alikuwa amekaa kwenye kiti chake chini ya mti anasoma gazeti. Pembeni yake alikuwepo mtoto wa miaka 6 ambaye alikuwa akimsonga kwa maana nae alikuwa anataka kuangalia kilichomo ndani ya gazeti.

Baba huyu ili kuondoa usumbufu akaona ni vema achane ukurasa mmoja ili ampatie mwanae. Ukurasa huu ulikuwa na ramani ya dunia, akamuonesha “unaiona hii ramani eh? baba  yake akaichana ile ramani vipande vidogo vidogo kama kumi na tano.Akamwambia mwanangu nenda ukavipange hivi vikaratasi mpaka iwe ramani kama ilivyokuwa, ntakupa booonge la zawadi. Hii yote ikiwa ni katika kuondoa usumbufu.

Mtoto akaenda kujifungia baada ya dakika chache akarudi akiwa amevipanga kwa usahihi kabisa. Kwamshangao haaaaaa!! Umewezaje kufanya haraka hivyo? mtoto akajibu nyuma ya vikaratsi hivi  ilikuwepo picha ya sura ya mtu hivyo nilivipanga kwa kukufuta sura hiyo.

Unajua maishani suala si kukutana na changamoto bali ni jinsi gani unazichukulia changamoto hizo. Ukikutana na changamoto yoyote tuliza akili na utapata mlango wa kutokea Changamoto nyingi hapa duniani ukigeuza upande wa pili utagundua ni FURSA. Fanya hivyo utashanga mambo yanavyokuwa rahisi kwako.Ila ukiwa kipofu wa kuitazama ile changamoto kwa hisia za itakuwaje utabaki hapo hapo.

 Hatupaswi kukata tamaa kwa sababu ya changamoto tunazokutana nazo, bali tunapaswa kuchunguza kwa umakini mkubwa ili kuziona fursa zilizo ndani yake.

Jumanne, 12 Aprili 2016

Kutafuta Mafanikio Kwa Njia Za Mkato Ni Hatari...


Mpenzi msomaji wangu, mafanikio katika maisha yako yatatokana na utendaji wako wa kazi halali huku ukiwa umejiwekea malengo.
Lakini sasa linapozungumziwa suala la kutafuta maisha mazuri na yenye mafanikio, wapo watu wanaodiriki kujiingiza katika shughuli zisizo halali ambazo mwisho wa siku zinaweza kuhatarisha maisha yao.
Zipo kazi nyingi tu ambazo ukizifanya kwa nguvu zote na kwa malengo, unaweza kuwa na mafanikio makubwa na ukaishi maisha ya furaha na amani. Hapa nazungumzia zile kazi ambazo ni halali.
Lakini huwa najiuliza, hawa wanaofanya kazi zisizo halali walishawahi kujiuliza hatima ya maisha yao itakuwaje?
Kwa nini ufikie hatua ya kufanya kazi ambayo itafanya maisha yako yawe hatarini? Wapo wanaosema eti wanafanya hivyo kwa sababu maisha ya sasa ni magumu hivyo

Jinsi Ya Kupanga na Kuboresha Uchumi Wako.


Kuweka malengo, uaminifu, nidhamu, kufanya kazi kwa bidii na kuipenda kazi yako ndio siri pekee ya mafanikio ulimwenguni. Kuweka malengo ya kukuza uchumi ndio dira pekee itakayokupeleka katika kilele cha mafanikio, weka malengo yako kwa kuyagawanya katika sehemu tatu,  Malengo ya muda mfupi, ya kati na ya muda mrefu.

Ni muhimu kupitia malengo yako anagalau mara moja kila mwaka. Hii itakusaidia kufanya mabadiriko katika orodha ya malengo yako, pia itakusaidia kuondoa orodha ya malengo yaliyokwisha timizwa.

Watu hutumia njia mbalimbali kupanga malengo yao , lakini leo hii nitakuonyesha njia rahisi ya kupanga na kuboresha  male

Jumatatu, 11 Aprili 2016

Create a Richer Life in 24 Hours or Less

Jumamosi, 9 Aprili 2016

Ipo Nguvu Ya Kuleta Mafanikio Kwako, Nayo Hufanya Kazi Kwa Mfumo Huu.

Rafiki Mpendwa, Bila shaka umewahi kupita sehemu mbalimbali za mjini, mfano sokoni na maeneo mengine. Katika kupita kwako kote huko, hujagundua kitu wala hujawazia kitu au bidhaa yoyote. 
 
Siku moja ukapata wazo la kununua jiko la mkaa. Ukaenda tena mjini kama kawaida yako, lakini leo hii unawazo la kununua jiko la mkaa. Ukafika sokoni ukashangaa kuona jinsi majiko ya mkaa yalivyo mengi lakini siku za nyuma ulikuwa unapita pale pale ila huyaoni au kama uliyaona hukuyafikiria. 
 
Unaamua kuangalia ili uchague jiko zuri unalolipenda, unajisemea ngoja nizunguke zunguke sokoni nikiulizia bei na pia

So, Here’s 14 Reasons Why You’re Not Successful!

o-WOMAN-BORED-OFFICE-facebook

1. You Complain.
Complaining may feel good for a second but it is probably the biggest waste of time there is! It serves no purpose unless you are taking note of what went wrong for the sake of figuring out what you’re going to do about it. Otherwise, shut up about it because really, nobody wants to hear it!

2.You’re Unorganized.
You can’t find anything when you need it! Everywhere you spend any time is a mess, at home, at work and even in your car! Start to get organized by getting rid of ANYTHING you don’t use, don’t know how to use or don’t recognize; then you’ll begin to have room to think!
3. You’re Late.
If early is on time and on time is late, then what the hell are you?! If you don’t respect time, yours or anyone elses, you might as well call it day

Ijumaa, 8 Aprili 2016

Haters Gonna Hate (And What you Can Do About It)

latest

You’ve got a dream, and it’s a big one. Maybe you want to quit your job, get a promotion, get married, or conceive the next great paper cup innovation. Whatever it is, it’s so exciting you just have to share it with everyone.
 

So you do.
But along with smiles and nods come scowls and awkward looks.

Turns out not everyone’s as excited as you are about your dream.
 
Some people don’t like your idea, others don’t think you’ll succeed, and still more dish out advice you didn’t ask for. Congratulations, you’ve met the haters.
Why Haters Hate
 Haters are the people you wish you’d never talked to, the ones who make you feel inadequate. They criticize your dreams and ideas. They erode your co

Tumia Kipaji Chako Kwa Faida Yako Na Ya Wengine


Lena Maria akiwaonesha wanachuo wa chuo cha SEKOMU jinsi anavyoandika kwa kutumia miguu yake.

Habari yako ndugu na rafiki yangu msomaji wa ukurasa huu, Hivi karibuni nimepokea jumbe nyingi kutoka kwa wasomaji wa ukurasa huu haswa wakitaka kumtambua zaidi mwanamama Lena Maria ambaye nilimtolea mfano kwenye Chapisho la 'Maisha Ni Kama Ujenzi Wa Kiota, Umejenga Chako?' kama bado hujaisoma basi bofya HAPA ili uisome.

Kutokana na hitajio hilo nimeona niweke Makala hii ili pia tujifunze namna ya kutambua na kutumia kipaji chako kwa kumuangazia mwanamama Lena, karibu,

“Tatizo la wazazi wengi wanawasaidia kupita kiasi watoto wao.” Ni maneno ya mwanamama Lena Maria Klingvall kutoka Sweden, ambaye ni miongoni mwa waanzilishi na mfadhili wa chuo kikuu cha SEKOMU hapo nyuma kilikuwa kinaitwa SEKUKO kinachopatikana

Alhamisi, 7 Aprili 2016

Steve Jobs’ 10 Secrets to Building a Huge Empire

Steve Jobs


Steve Paul Jobs was born on February 24th, 1955. He is known to be the Chairman, co-founder as well as the CEO of the Apple Inc. He was also the former CEO of well known Pixar Animation Studios.
 
He was also represented among the Board of Directors of the Walt Disney Company. Not bad! He completed his studies in California and later he did his frequent after-school lectures in Palo Alto at the Hewlett Packard Company. In a few months time, he was hired in the same place and from there his career started to accelerate. The great personality exhibited by Steve Jobs was told and appreciated far and wide. 

He was referred to as one of Silicon Valley’s leading egomaniac by Fortune Magazine.

It was in the year 1976 when he founded the company he named Apple Inc. Presently, Jobs is referred to as the single largest shareholder in the Walt Disney Company and also one among its Board of Directors. His presence and appreciation in both the computer as well as

The Top 3 Habits That Made Steve Jobs Successful

young-steve-jobs-1-e1317873981447

That Steve Jobs, co-founder of Apple as well as its former CEO, was a truly unique manager and leader is not in doubt. Therefore, as a business owner, manager, leader or an entrepreneur, there is no better role model to turn to for inspiration than Steve Jobs. After interviewing Apple employees, analysts and experts, and also looking at the own words of Steve Jobs over the course of the last 30 years, I have been able to put together top 3 habits that made Steve Jobs successful.
 
I believe that after reading these personality traits that were the driving force of Steve Jobs’ important innovation and business leadership, you will get the inspiration that you need to take your business or company to the next level. Read on to discover these important traits.
Habit #1: Put your brain into work
Steve Jobs once defined creativity as ability to connect things. And connecting things, according to Jobs, was searching for inspirations from different other industries. In many occasions, Jobs found inspirations in a Zen Meditation, The Four Seasons chain of hotels, in a food pro

Jumatatu, 4 Aprili 2016

Maisha Ni Kama Ujenzi Wa Kiota, Umejenga Chako?

Habari yako ndugu na rafiki;

Leo ni siku nyingine nzuri, yenye kila Neema na Rehema. Najisikia furaha pale ninapokuona tunaendelea pamoja kwenye juhudi zetu za kuboresha maisha yetu. Leo nimekuletea makala hii nzuri ndani yake ikiwa imebeba ujumbe muhimu kwako kwa wakati huu. 

Ndugu, maisha yapo, yataendelea kuwepo hata kama mimi na wewe hatutakuwepo. Mimi na wewe na yule na watu wengine wote unaowaona tumepewa fursa moja kubwa ya kuishi. Wote tumezaliwa na tumekua kila mmoja kwa jinsi yake, wote tunapumua na kutumia hewa hii hii ya aina moja. Wote tunapata mwanga huu huu wa jua. Na mambo mengine mengi tunashirikiana sawa kwa wote.

Pamoja na kwamba tuna shirikiana mambo mengi, kuna tofauti zinajitokeza miongoni mwetu. Moja ya tofauti hizo ni mafanikio. Kuna wengine japo umri na mambo mengi tunafanana lakini wanatuzidi kimafanikio. Kunasababu nyingi ambazo tunaweza kuzitumia kama ndizo zinazosababisha tutofautiane kimafanikio. Hilo lisikutishe, hebu tujifunze kwa viumbe wengine.



Ndege Wajenzi Na Wasio Wajenzi

Kama ilivyo kwa binadamu, ndivyo ilivyo kwa viumbe wengine kama ndege. Wote wanazaliwa, wanakua na hatimaye wanakuwa ndege wakubwa kwa jinsi

Je Umejijengea Himaya Yako? Kama Bado Ijenge Sasa!


Neno Himaya linamaana zaidi ya moja lakini maana ninayozungumzia hapa ni biashara kubwa(extensive) inayoongozwa na mtu mmoja au kampuni. Mfano kwa Tanzania ni Himaya ya Said Salim Awadh Bakhresa.
 
Mpenzi msomaji wangu ninaamini kuwa makala hii itakusaidia kukutia hamasa ikiwa unandoto za kufika mbali kiuchumi. Hakuna kazi ngumu kama kujenga kitu kikubwa kisichokuwepo na ambacho wewe ndiye mwanzilishi wake. Inahitaji juhudi kubwa, maarifa mengi, uzoefu wa kutosha, ubunifu mwingi na zaidi ya hayo inahitaji maono dhahiri.

Dr.Laura Schlessinger, Mwandishi wa vitabu na mtoa maada wa vipindi vya redio huko Marekani aliwahi kusema “Usijaribu kufanya jambo lolote ikiwa haujajiandaa kukabiliana na changamoto zinazotokana na jambo hilo”.

Mimi nasema usijaribu kuanza  kujenga himaya yako ikiwa hauna kiu ya dhati ya kuwa na himaya. Ni gharama kubwa zinahitajika sio gharama za pesa tu bali na gharama ya muda, mawazo,elimu,na ushindani nk.
Elimu yako ya darasani inaweza kukusaidia kidogo

Kila Mtu Ni Mlaji, Lakini Je, Tunazalisha Nini?


Katika kila jambo linaloendelea duniani, kuna makundi mawili ya watu. Kuna walaji na kuna wazalishaji.
Walaji ni wale ambao wanasubiri kitu kitoke na wao waanze kutumia.
Na wazalishaji ni wale ambao wanaangalia kipi kinahitajika na wanakitengeneza kisha kuwapatia walaji.
 
Katika makundi haya mawili wanaonufaika zaidi ni wazalishaji, kwa sababu walaji wanahitaji kuingia gharama kupata kile kilichozalishwa. Kila mmoja wetu ni mlaji kwa vitu fulani, kwa sababu hatuwezi kuzalisha kila kitu sisi wenyewe.
 
Lakini cha kusikitisha kuna wengi ambao siyo wazalishaji, au wanazalisha

Jumamosi, 2 Aprili 2016

Uthubutu Ndiyo Funguo Ya Uhakika Ya Mafanikio Yako. THUBUTU!!

Dunia imejaa uchovu mkubwa, kila jambo hapa duniani limejaa furaha yake na huzuni yake. Furaha ya mambo hapa duniani ni kubwa lakini pia huzuni ya mambo hapa duniani ni kubwa zaidi. Watu ni wale wale uwaonao na matendo yao ni yale yale uyaonayo. 

Ukiudhika na kukasirika dunia haitakujua wala ukifurahi dunia haitakufahamu bali itaendelea na taratibu zake tu za kupuliza upepo kutoka mashariki kwenda magharibi ama kutoka kusini kwenda kaskazini. Mito yake na viumbe waliomo vitaendelea na ratiba zake zile zile za kila siku. 

Dunia imejaa uchovu mkubwa. Ukikumbuka sheria na amri za Muumba wetu na ukikumbuka maisha yako yanavyokwenda kinyume na amri hizo nafsi yako inajihisi ni yenye hatia. 

Unakumbuka kwamba tupo hapa duniani kwa kitambo tu? Unakumbuka kwamba yoyote uyafanyayo sasa hapa duniani yatasahaulika na mengine uyakusanyayo watayatawanya punde tu wewe ukiondoka? watagawana gawana wale ambao hawakutolea jasho kama wewe. Unakumbuka au umesahau hilo?

Kunawakati unatafakari lakini hupati majibu, saa nyingine usipoangalia unakata tamaa kabisa kwa jinsi

Mafanikio Hayaonekani Kwa Urahisi, Yatafute Kwa Umakini!!




Hebu Tujaribu Kuona Kama Tunaweza Kujifunza kutokana na Hadithi Ya Shamba La Ekari Tatu Za Dhahabu Barani Afrika

Miaka ya 1930 katika nchi ya Ghana kulikuwa na mzee mmoja alikuwa anashamba la ekari tatu. Bahati mbaya hakujua kama shamba lake limejaa dhahabu. 

Siku moja akaja mgeni kutoka Ubelgiji, alikuwa anazunguka katika nchi za Afrika kuangalia wapi kuna madini kwa ajili ya uwekezaji. Bahati nzuri mgeni huyu akafika kwenye shamba la mzee huyu wa Ghana, alipoliona tu lile shamba alishangaa kuona shamba zima la ekari tatu limejaa dhahabu.  

Kwa lugha ya upole mgeni akamsalimia yule mzee mwenye shamba, kisha mgeni akaanza kumwambia yule mzee, “Laiti ningepata shamba la dhahabu lenye ukubwa wa ekari tatu, ningeweza

Jumatano, 30 Machi 2016

Kutafuta Pesa Ni Kama Mchezo, Cheza Ufurahie Maisha



Ndugu na rafiki yangu, sina hakika na hali yako kiuchumi kwa sasa iko je, unaweza kuwa na hali nzuri kiuchumi au hali inaweza kuwa sio ya kuridhisha au unaweza kuwa na hali mbaya kabisa. 
Watu wengi hapa Tanzania wamekuwa wakilalamika kuwa maisha ni magumu. Sikubaliani moja kwa moja na maneno hayo labda kwa shingo upande hivi naweza kukubaliana na maneno hayo. Ninachokijua mimi ni kwamba maisha ni mazuri sana tena ni marahisi sana. Mtu akisema  maisha ni magumu, ugumu  wake unasababishwa na kutokujua cha kufanya ambacho kinaweza kukuletea pesa. 
Ziko mbinu lukuki za kukuletea pesa, zina hitaji mtaji kidogo tu wakati mwingine bila hata mtaji. Kinachotakiwa ni kupata ufahamu kidogo tu wa namna ya kufanya na ukitekeleza, tayari unaanza kubadilisha maisha yako. Unaanza kuvuna pesa.
Kuna dunia mbili japo watu wote tunaishi kwenye dunia hii hii moja. Wewe unapolalamika pesa hakuna, mtu mwingine ,tena anaweza kuwa jirani yako anashangaa kuona jinsi pesa zilivyo nyingi. Kwahiyo, wewe unaiona dunia haina pesa, jirani yako anaona dunia imejaa mapesa mengi.

Kutafuta Pesa Ni Mchezo
Usitafute pesa kama unatafuta maisha. Tunajua mtu anapokuwa anaumwa huwa tuko makini kuhakikisha anapona haraka, lengo la kupona ni

Mbinu Nne Zitakazokusaidia Kuziona Fursa.


Mahali popote ulipo umezungukwa na fursa kibao. Kama hujaziona tatizo sio kwamba fursa hazipo tatizo ni macho yako hayazioni ila zipo. Katika makala hii tutajifunza namna ya kuboresha macho yako na akili yako ili upate nguvu ya kuziona fursa mahali ulipo.

Katika chapisho lililopita tuliangazia kuhusu uwepo wa fursa kwenye maeneo mbali mbali, sasa hebu tujaribu kuangalia ni kwa namna gani tunaweza kuziona fursa hizo mahali tulipo.

Hizi hapa ni mbinu nne zinazoweza kukusaidia kuona fursa zinazokuzunguuka hapo ulipo;  

Mbinu ya kwanza: Kuwa Makini (Be Aware). 
Kama huzioni fursa mpaka sasa unatakiwa kuanzia leo uanze