Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MAPAMBANO YA VVU NA UKIMWI. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MAPAMBANO YA VVU NA UKIMWI. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 15 Machi 2016

VIRUSI VYA UKIMWI NI NINI?

HIV ni nini?

HIV ni ufupisho wa Human Immunodefeciency Virus yaani virusi vinavyoua kinga ya mwilini.

HIV ni kirusi kinachoharibu uwezo wa mwili wako wa kujihami dhidi ya maambukizo.
Watu wengi hufikiria kwamba watu ambao wana virusi hivyo basi wana Ukimwi, ukweli ni kwamba virusi
vya HIV ndivyo vinavyosababisha Ukimwi, yaani yawezekana mtu aakawa na virusi vya ukimwi kwa
muda mrefu bila ya kuugua ukimwi.

Hii inamaanisha anaweza kuwa na HIV bila kujua, wala kuona dalili zozote – Wakati huo iwapo tahadhari hazitachukuliwa anaweza kumwambukiza mtu mwengine.

Ukimwi ni nini?
Neno Ukimwi lina maana ya Ukosefu wa Kinga Mwilini.
Hapa virusi vya HIV huwa vimeshambulia kinga ya aliyeambukizwa kiasi kuwa, mwili wake wauwezi tena kujipa ulinzi dhidi ya maambukizo. Hivyo huonyesha dalili za magonjwa tofauti tofauti na hata saratani, hapo ndipo wanasemekana kwamba wana ukimwi. Wakati huo ndipo kinga yao ya mwili huwa ni dhaifu sana, na magonjwa alo nayo yanakuwa vigumu kuyatibu na ndipo hapo ukimwi unasababisha kifo.

Fahamu kuwa kila mtu hukumbana na viini ambavyo husababisha magonjwa, lakini kama kinga yako ni imara si rahisi kupata maambukizo na hata ukipata ni rahisi kuyatibu lakini kwa wale waishio na virusi vya ukimwi kinga yao huwa imedhoofishwa sana kiasi kuwa akikumbana na viini ni rahisi kwake kupata maradhi na hata
akitibiwa inachukua