Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo UJANA NA MAHUSIANO. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo UJANA NA MAHUSIANO. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 8 Agosti 2016

Five Reasons Women Dig Sober Dudes

sober guys

Do women find sloppy, stumbling-around drunk dudes attractive? I used to think so, especially when the average bar star pulls more tail than the overly serious, super religious guy. You know, the guy who is always talking about his Alcoholics Anonymous meetings or how he can’t do this or that because he’s afraid he’ll relapse.
But, as a recovering addict in sobriety for six years, I’m here to tell you that plenty of guys are changing the face of what it means to be sober. We are defying stereotypes. We are not boring, we don’t obsess about living sober, and we lead healthy adventurous lives that are just as diverse as guys who get drunk on a regular basis.
Sobriety is getting a whole lot more attention these days and women find it sexier than ever. How would I know? Because I’m the guy now who pulls more tail than that average bar star.
While he’s busy picking fights and grabbing booties on the dance floor, us sober guys are sealing the deal. It takes a great deal of confidence to approach an attractive female

Jumatano, 13 Aprili 2016

MY DEDICATION TO YOUNG PEOPLE


PHOTO: circlesnetwork.org.uk/

Youth is a time of hope. Also of uncertainty. But for a person who is young and healthy, uncertainty just means a challenge. It is important to be positive. First of all about yourself. But also about your family and your people. As a unique person and each human being are unique, you have enormous potential. Because you have so much potential, people may sometimes feel negatively challenged by that potential and try to undermine it.
 
You have to fight for your right to make your place in society. To do that you have to use all the chances given you now to be a positive element in whatever situation you find yourself in, in future. So, it may be necessary to be a ‘rebel in reverse’ as it were. That takes real courage, to set your goal and stick to it. You choose your crowd. You exercise your right to choose.
 
Don’t lose your freedom for the sake of anyone. Real freedom, freedom to choose the right thing, the best for you.
Always bear a few things in mind while exercising your right to choose.
* Never take a decision when you are in a fit of anger or depression. * Never take a decision when you are emotionally high. * Why should fads or the decision of the group tie you down? * What are you? * What do you want tomorrow to be for you?
No matter how strong the group decision may be, you must think and make your decision. Many times it is necessary to consult before taking a decision. Go to someone whose life you admire, not necessarily the person you like most, but the person who is whole, who is one person, wherever she or he is and whatever she or he does.
* Remember that there is always tomorrow, and tomorrow is hope. Very few things are ‘written in stone’. Most of the mistakes we make can be rectified. They can be corrected. Problems have a solution, and each new day is a new start, a new chance, a New Hope. Indeed the youth are our hope you are our future.
Also remember that your parents love you unconditionally, you have their support and want the best in life for you ¨
 
 

Je Ni KWANINI WATU WANAKUWA WATUMWA WA NGONO?

JOHN alijiingiza katika tabia za utumwa wa ngono wa aina tatu: 1) kupiga punyeto kila wakati, 2) kutazama picha za ngono, na 3) majumba ya kufanyia massage. Alikuwa pia ni mlevi kupindukia. 
 
Kutokana na ushauri aliopewa na Joe Zychick, mtaalamu wa mambo ya saikolojia wa Marekani, alijifunza kwamba haijalishi kama alikuwa akinywa bia, mvinyo au pombe kali, iwe alikunywa nyumbani, baa, wakati wa wikiendi au wakati wowote. Alitakiwa kupambana na kuyashinda majaribu yote ya ulevi.
 
Tofauti na pombe - tabia za utumwa wa ngono haziko sawa. Watu wengi wanapambana na uraibu wa ngono kama vile ulevi kwa sababu, kwa nchi ya Marekani, Programu ya Hatua-12 ndiyo maarufu. Lakini kwa bahati nzuri kuna tiba ambayo ni nzuri zaidi. 
 
Ngoja tuangalie kwa undani na tupate tafsiri ya uraibu ambao unaweza kutumiwa kwenye ulevi na ngono kwa pamoja,  na uraibu mwingine: Uraibu ni "shughuli" au "kitu" ambacho mtu hukitumia "kuepuka" kupambana na mawazo au hisia "zisizoburudisha" ambazo zinapaswa kukabiliwa.
 
John alikuwa ameraibiwa na ulevi kwa sababu: badala ya kupambana na hali nzito ya kijamii, yeye alikunywa sana ili kupunguza fa

Jumatatu, 11 Aprili 2016

Jinsi Ya Kumtambua Mwanamke Anayekaribia Kukuacha!


Uchunguzi unaonesha kuwa, wanawake wengi hawawezi kuficha sana hisia zao za mapenzi, lakini pia kwenye chuki hawakujaaliwa uvumilivu. Wanasaikolojia wanakiri kwamba, kutambua mawazo yaliyomo ndani ya mwanamke kwa kumtazama muonekano wake usoni ni rahisi kuliko mwanaume ambaye anatajwa kuwa na uwezo kuficha mawazo yake.

Muongozo huo wa kitaalamu wa kumtambua mwanamke anayekaribia kukuacha ni kazi rahisi, ambayo inaweza kuanzia kwenye kona ya mazoea ya tabia zake za kila siku kwenye uhusiano wa kimapenzi. Ni imani yangu kuwa kila mwanaume anamfahamu mpenzi wake katika sura mbili za chuki na furaha yake.

Atakuwa mwanaume wa ajabu ambaye atarudi nyumbani kwake na kushindwa kusoma sura ya mkewe na kujua kama ana furaha au amekwazika.
Ninapotazama uwezekano rahisi wa kumtambua

Jumamosi, 9 Aprili 2016

8 Types of Toxic Friends That Are Holding Your Happiness Hostage

girlfriends-4

“We would do ourselves a tremendous favor by letting go of the people who poison our spirit.”
–Steve Maraboli


Toxic people are no good for our souls, spirit, and even our physical being. If you have any friends that seem to suck the life out of you, it’s a high possibility that they could be! While some people may view you as ruthless for kicking certain friends to the curb, keep in mind that you are doing this for your happiness. Anyone who is sabotaging your happiness, intentionally or not, should not be in your life.
 
You must have more respect for yourself and know ultimately what is best for you. Your true friends are the ones who are supportive and uplift you, they never bring you down and keep you down.
If you are unsure about whether or not you have toxic friends, you must assess how you feel when it comes to certain people in your circle. Also, this article will

Jumatano, 6 Aprili 2016

Hisia 8 Hatari Katika Mapenzi



Miongoni mwa vitu vinavyochangia kuharibu uhusiano wa kimapenzi ni hisia. Wapenzi wengi wameachana kwa sababu si kwamba walithibitisha ubaya wa wenzao ila walijijaza wenyewe hisia mbaya na kujikuta wamepoteza thamani ya kupenda. Hebu angalia hisia nane hatari ili uzikimbie mapema kabla hazijakuharibia penzi lako.

1. Nitasalitiwa
Kuishi katika mapenzi huku ukiwa na fikra kwamba mwenza wako anakusaliti ni jambo baya kwa vile huathiri msukumo wa ndani wa k

Anakuliza Kila Mara Lakini Unashindwa Kumuacha?


Namshukuru Mungu kwa mara nyingine tena kwa kunijaalia fursa hii ya pekee ya kuzungumza nawe mpenzi msomaji wa safu hii ya uwanja wa mahusiano ya mapenzi.
Si unajua bila mapenzi hakuna maisha! na Raha ya maisha ni kuwa na mwenzi, mpenzi wa kumpenda na kukupenda ki ukweli na sio kujaribu au kuzuga. Vile vile mahusiano Mabaya ya kimapenzi hupelekea muunganiko (ndoa) mbaya ambayo pia madhara yake ni makubwa sana. Ndiyo ni makubwa!

Asilimia kubwa ya watoto waishio kwenye mazingira hatarishi (watoto wa mitaani), mmomonyoko wa maadili ya vijana wa kike na kiume, makundi ya uhalifu n.k ni matokeo ya mahusiano mabaya ya wapenzi au wanandoa,

Kwa wale walio katika mapenzi matamu na ya kweli watakubaliana na mimi kuwa mapenzi yenye amani na masikilizano ni kama ‘paradiso’ ndogo ndani ya ulimwengu huu mkubwa uliojaa vituko! Wakati mwingine unaweza hata kujikuta umeshiba bila kula, eti kwa sababu tu umemuona mpenzi wako, au kuwa nae karibu

Jumanne, 5 Aprili 2016

Check Your Ego, Build Your Relationships

k

Picture yourself at work leading your way to a one-to-one meeting with your boss.

Words start flowing and you can feel them like bullets fired by a machine gun hitting you deep down somewhere you can almost feel the pain: They are the foundations of your ego being badly shaken, holding on again and again after every strike. Nonetheless, you stand strong and do not let your feelings throw you to say something wrong. However, the damage is done. As common as this panorama may seem, it is always brought about due to the same cause: Our egos.
And the less flexible we are to the external threats it receives, the more resistance and emotional pain we will suffer as a result.

Here you will find three tips on helping you to deal with your ego without it causing you more headaches than needed:

1-Do not Take it Personally
Many times the stuff people tell you, whether it is your colleague at work or someone you just met in a pub, is more a reflection of their state of mind and

Jumatatu, 4 Aprili 2016

Wanawake Pia Huchangia Upungufu wa Nguvu za Kiume



Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii.

Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja kwenye biashara zao. Hii inaonesha kuwa tatizo hili ni kubwa miongoni mwa wanaume wengi katika jamii yetu.

Hata hivyo, utafiti unaonesha kwamba wengi kati ya wanaume waliowahi kutumia dawa za asili na zile za hospitali kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hawakufanikiwa kupata tiba ya kudumu, matokeo yake wamegeuzwa kuwa watumwa wa kila wanapotaka kushiriki tendo lazima wabwie ‘kolezo’ la kuwasaidia kuamsha hisia zao.

Kwa wanaume, ukosefu wa nguvu ni jambo linalouma na kuondoa kabisa ujasiri. Wengi kati yao wako tayari kutumia pesa na uwezo wao wote kuhakikisha kuwa heshima ya tendo la ndoa

Jumatatu, 28 Machi 2016

Unapotaka Kuoa Au Kuolewa Je nini cha kuangalia. Sura Au Tabia?



  
Kuna msemo maarufu sana usemao "NI HERI UKOSEE KUJENGA NYUMBA LAKINI USIKOSEE KUOA AU KUOLEWA"


Karibu katika mada hii, imenibidi nikuletee mada hii kwa sababu kumekuwa na maswali mengi sana, vijana wanaotaka au waliokaribia kuoa au kuolewa kutaka kujua mke au mume wa kuoa wanatakiwa waangalie nini.

Ndoa ni taasisi nyeti sana, Taasisi hii ikiyumba basi jamii pia itayumba. tunashuhudia mambo mengi sana ambayo yanatokea kwenye jamii ambayo ni matokeo ya kuyumba kwa taasisi hii:

watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi, mmomonyoko wa maadili, umasikini, nk. Haya ni baadhi tu ya matokeo ya kuyumba kwa taasisi nyeti ya ndoa.

maranyingi kuyumba, na kuvunjika kwa ndoa hua kunahusiana sana

Ijumaa, 25 Machi 2016

MADHAIFU MATANO (5) YANAYODIDIMIZA MAHUSIANO NA NDOA





Makala hii ni tafakari huru kuhusu mambo ya msingi katika mahusiano.  Hapa utapata tafakari ya maana ya maneno na imani ambazo zinatutatiza wengi wetu.

1. Mchanganyiko mkubwa kuhusu maana ya mahusiano, mapenzi na ndoa:
Labda kipengele hiki tuanze kwa kueleza kuwa kunaweza kuwepo ndoa, lakini yasiwepo mahusiano wala mapenzi. Inaweza kuonekana kama inachanganya kidogo, lakini ndio ukweli wenyewe.  Ndoa ni namna tuu ambayo

Things Every Woman Does That Destroy A Relationship





Women are not the only ones who can destroys a relationship, but there are a few things that a lot of women do that send men running for the hills. In every successful relationship, both parties can talk about what is bothering them or common problems that can be avoided.
If you’re starting feel a rift between you and your guy, you can easily bring him back into the fold by making a few changes to yourself and the way that you handle issues when they come up.
 
Here are 5 things that women do to ruin a relationship.

1. Too Much Nagging.
Nagging can be one of the most annoying things to a man.
Women that nag instantly get eye rolls from their

Jumatano, 16 Machi 2016

Njia bora ya kuacha uvutaji sigara

Njia bora ya kuacha uvutaji sigara


Utafiti wa karibuni zaidi umeonesha kwamba njia bora zaidi ya kuacha uraibu wa kuvuta sigara ni kuacha mara moja.
Utafiti ambao matokeo yake yamechapishwa katika jarida la kimatibabu la Annals of Internal Medicine unasema washiriki walioacha mara moja walikuwa na uwezekano mara 25% zaidi ya kutovuta sigara nusu mwaka baada ya kuachana na uraibu huo wakilinganishwa na walioacha uvutaji sigara taratibu taratibu.

Idara ya Afya ya Taifa Uingereza inasema njia bora zaidi ni kutenga siku fulani kuwa ya kuacha kuvuta sigara.
Weka ahadi, tenga siku na uhakikishe umefanya hivyo siku hiyo, idara hiyo inashauri.
Utafiti huo wa karibuni uliofadhiliwa na Wakfu wa Moyo wa Uingereza ulihusisha washiriki 700 wa kujitolea.
Waliwekwa kwenye makundi mawili, moja la kuacha kuvuta sigara mara moja na jingine la kuacha asteaste.
Baada ya miezi sita, ni 15.5% ya washiriki walioacha kuvuta sigara taratibu taratibu waliokuwa bado hawavuti sigara wakilinganishwa na 22% kwenye kundi la walioacha kuvuta sigara mara moja.



Uvutaji sigara ni moja ya mambo yanayoaminika kusababisha saratani
Kiongozi wa utafiti huo Dkt Nicola Lindson-Hawley, kutoka Chuo Kikuu cha Oxford alisema: "Tofauti inaonekana ni kama inatokana na kutatizika kwa watu

Jumapili, 13 Machi 2016

MANDE/MTUNGO (GANG RAPE)

KUPIGA MANDE/MTUNGO NI HATARI


Bila shaka neno ' Mande ' sio geni katika jamii zetu.
Mande inatokea pale kikundi cha watu wa jinsia ya kiume kinapomuingilia kimwili mtu mmoja kwa zamu.
Kitendo hiki cha wanaume zaidi ya mmoja kumuingilia mtu mmoja, wengine huita 'Mtungo' Kitendo hiki ni ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia.

Mpaka watu kuamua kupiga mande inachangiwa zaidi na vijana kukosa shughuli maalumu ya kufanya na kukaa kwenye makundi ambayo yanawaingiza kwenye Misukumo Rika na kushawishiana kufanya vitendo vya uwovu.

Watu wengine hupiga mande kwa makusudi ya kumkomoa msichana ambaye amekuwa anakataa
kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wavulana.

Aidha wapo ambao hufanya vitendo hivyo kwa kukodiwa ili kumkomesha Msichana/Mwanamke kwa sababu mbalimbali ikiwemo kuwa na mahusiano na Mume/Bwana wa Msichana/Mwanamke mwingine.

  • Watafiti wamegundua kuwa wahalifu na waathirika wa matukio haya wengi wao ni vijana.
  • Wengi wanaojihusisha na mambo haya huwa ni wale wanaotumia pombe na madawa ya kulevya.
  • Wakati mwingine silaha hutumika kumjeruhi mtendewa ili lengo la watendaji liweze kutimia.
Mande humuacha muathirika katika hali mbaya na wakati mwingine hata kufa.

WANAUME WAWAJIBIKE KWASABABU:
Wanaume ndio wanaohusika zaidi na ishu hizi za kupiga mande, Unabishaaa?
Umeshawahi kusikia mwanamume amepigwa mande na wanawake? sio kitu cha kawaida kwa wanawake kupiga mande!!!!

  • Wanaume mtambue kuwa kitendo hiki ni cha hatari.
  • Kiini cha mabadiliko ni mwanaume.
  • Ni vizuri pale tunapoona kuwa kuna dalili ya vijana kujiingiza katika vitendo viovu tuwe msatari wa mbele kuhamasisha mabadiliko Chanya.
  •  Mwanaume atambue haki na wajibu wake na utii wa sheria za nchi.
  • kupiga mande ni ubakaji.
WANAWAKE PIA WAJIBIKENI:

Ni vema wanawake/wasichana kuepuka tabia zenye kuchochea kutokea kwa vitendo hivyo.

  • Jiepushe na tabia mbaya za kuwa na mahusiano na waume/mabwana wa watu.
  • Jiepushe na tabia za kupenda zawadi na ofa za starehe kutoka kwa mwanaume ambaye huna mpango wa kuwa nae kwenye mahusiano kwa sababu siku akijua kua unamzingua inaweza kuwa hatari kwako.
  • Achana na tabia ya kuwa kwenye mahusiano na mwanaume zaidi ya mmoja!!! hiyo ni hatari sana!!!
KUMBUKA:
  • Mande husababisha madhara mengi yakiwemo kupata maambukizi ya magonjwa ya ngono na hata VVU.
  • Mande ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
  • Kupiga mande ni Uvunjaji wa sheria za nchi na kwa mujibu wa sheria za Tanzania, adhabu kali ikiwemo kifungo mpaka cha maisha jela, faini kubwa, viboko n.k hutolewa kwa waliopiga mtungo na hata walioshiriki kupanga na kufanikisaha tendo hilo ovu.
Kila mtu awe na utashi na utii wa sheria.
**************************

TABIA HATARISHI

TABIA HATARISHI NI ZIPI?


Mtu anayetumia dawa za kulevya hasa yule anayejidunga yupo katika hatari ya kuambukizwaVVU.
Hata hivyo wale ambao huwa katika maeneo yenye utumiaji wa dawa za kulevya wana hatari zaidi ya kuambukizwa VVU kwa kufanya ngono zisizo/salama na watumiaji wa dawa hizo.
Aidha, vijana wenye umri wa kupevuka wapo katika hatari zaidi ya kuambukizwa zaidi kwenye
tabia hatarishi kuliko makundi mengine.
Zipo tabia nyingi ambazo humweka mtumiaji wa dawa za kulevya katika hatari kubwa ya kuambukizwa VVU.
Zifuatavyo ni baadhi tu ya tabia hizo:

  • Kutumia mara kwa mara na kwa muda mrefu dawa za kulevya.
  • Kushirikiana dawa, sindao, au mabomba na vifaa vingine vya kujidunga.
  • Kusafisha vifaa vya kujidunga walivyoshirikiana bila kufuata taratibu zinazoweza kuua vijidudu, Kufanya ngono ziizo salama.
  • Kuwa na wapenzi wengi (Kubadilisha wapenzi) kununua penzi kwa dawa au fedha.
  • Kufanya mapenzi kinyume cha maumbile.
MAMBO GANI HUCHOCHEA TABIA HATARISHI?

  • Uelewa mdogo juu ya tabia zenyewe hatarishi.
  • Mtazamo potofu kuwa kushirikiana sindano au mabomba ni ishara ya uaminifu na undugu miongoni mwa wanaojidunga.
  • Misukumo rika.
  • Arosto kali inayotokana na utegemezi kuzoeleka kwa matumizi ya dawa za kulevya kaka jamii zetu.
    Ugumu wa maisha.
HUDUMA GANI ZICHUKULIWE KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU?

Kiongozi:
  • Kuweka sera zisizo kandamiza, zisizo bagua na zisizo watega watu wanaotumia dawa za kulevya ili waweze kuzitumia huduma za tiba.
  • Kuelimisha umma juu ya tabia za dawa za kulevya na maambukizi ya VVU.
  • Kuhaikisha programu za kuwasaidia watumiaji wa dawa za kulevya zinaanzishwa na kuendelezwa.
Mwananchi:

  • Kuto wanyanyapaa na kuto wabagua watumiaji wa dawa za kulevya na badala yake kuwachukulia kuwa watumiaji ni watu wanaohitaji msaada wa matibabu na kuwaelekeza sehemu watakapozipata huduma za tiba.
Mtumiaji wa dawa za kulevya:

  • Kuacha kutumia zadawa za kulevya, Kuacha kushirikiana sindano au mabomba na vifaa vingine vinavyotumika kujidunga Kusafisha vyema vifaa vya kujidunga kwa kuchemsha au kutuia dawa za kusafishia.
*******************************