Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.
Jumapili, 7 Agosti 2016
Maisha Ni Zaidi Ya Kuwa Msomi. Jiongeze!!!
Jumamosi, 2 Aprili 2016
Tupaze Sauti Dhidi Ya Ukatili Kwa Watu Wenye Ualbinism, Ni Unyama Usiovumilika!!
Matendo ya Ukatili na Unyama wanavyofanyiwa Watu wenye Albinism, kumeichafua sana nchi yetu!
Vitendo vya kukata viungo vyao na hata kuwaua kabisa kumewafanya nduguzetu hawa kuishi kwa mashaka makubwa kana kwamba hawafai kuishi katika nchi yao wenyewe.
Hakuna amani kwa wat wenye albinism hata katika kile kinachoitwa nchi zenye amani katika Bara la Afrika, na Tanzania ikiwemo, ambako wanazaliwa, wanakua, wanaishi na kufanya kazi! Hata baada ya kufariki dunia, bado ndugu zetu hawa hawapumziki kwa amani kwani makaburi yao hukuliwa na viungo vyao kuibwa.
Kati ya mwaka 1998 na 2015 Jumla ya matukio 413 ya Mauaji, ukataji wa viungo, kubakwa, utekaji nyara, majaribio ya utekaji nyara, makaburi kufukuliwa na kupotea kwa watu wenye Albinism yalilipotiwa katika nchi 25 za Afrik
Jumamosi, 12 Machi 2016
NAFASI ZA MFUNZO
JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO MARCHI 2016/2017.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wanatangaza nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za afya zinazotolewa na vyuo vilivyosajiliwa na NACTE na kutambuliwa na wizara.
Kufuatia tangazo hili watu wote wanaopenda kujiunga na kozi hii, watume maombi yao ili wajiunge na kozi hizi ifikapo mwezi April 2016.
Kozi zinazotangazwa ni:
Kozi za ngazi ya Stashahada:
Maabara (Diploma in Medical Laboratory Sciences)
Utabibu (Diploma in Clinical Medicine)
Uuguzi (Diploma in Nursing)
Kozi za ngazi ya Astashahada (Cheti)
Maabara (Certificate in Medical Laboratory Sciences)
Utabibu (Technician Certificate in Clinical Medicine)
Ufamasia (Certificate in Pharmaceutical Sciences)
Uuguzi (Certificate in Nursing)
Kozi za ngazi ya Astashahada ya Awali (Basic Technician Certificate).
Dispensers (Basic Technician Certificate in Pharmaceutical Sciences)
Community Health Worker -CHW (Basic Technician Certificate in Community Health)
Muda wa Mafunzo:
Miaka mitatu (3)kwa kozi za Stashahada (Ordinary Diploma)
Miaka miwili (2) kwa kozi za astashahada (Technician Certificate)
Mwaka mmoja (1) kwa astashahada ya awali (Basic Technician Certificate)
Sifa za Muombaji Watarajali (Pre-service):
Awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C', kwa masomo ya biologia na kemia , na alama ‘D' kwa somo la fizikia, Hisabati na Kingereza kwa kozi za Stashahada (Ordinary Diploma) .
Awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D', kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia, Hisabati na Kiingereza kwa kozi za Astashahada (Technician Certificate).
Awe amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake uwe wa kiwango kisichopungua alama ‘D', kwa masomo manne (4), likiwemo somo la biolojia (Biology) kwa kozi za Astashahada ya awali (Basic Technician Certificate)
Utaratibu wa kutuma maombi:
Maombi yatafanyika kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa udahiri wa pamoja (Central Admission System-CAS) unaoendeshwa na kusimamiwa na NACTE.Aidha mfumo huu unapatikana kupitia Tovuti: www.nacte.go.tz au www.cas.go.tz
Utaratibu wa kutoa taarifa kwa waliochaguliwa:
Baraza la Elimu ya Ufundi (NACTE) litakuwa na wajibu wa kuwataarifu wale wote watakaofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali kupitia magazeti, ‘website' ya Baraza na pia kupitia utaratibu mwingine wowote utakaodhihirika kurahisisha mawasiliano na utoaji taarifa.
Taarifa hizo zitatumwa pia vyuoni kwa ajili ya ufatiliaji na urahisishaji wa mawasiliano.
Muda wa mwisho wa kuomba kujiunga ni tarehe 31 Marchi, 2016.
Muhula wa masomo unatarajiwa kuanza tarehe 18 April, 2016.
Imetolewa na:
Katibu Mkuu,
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
S.L.P. 9083,
6 Barabara ya samola machel,11417. Dar es Salaam.
Jumatano, 9 Machi 2016
MAGONJWA YA ZINAA KWA MAMA MJAMZITO:DALILI ZAKE,MADHARA NA TIBA YAKE
Magonjwa ya zinaa ni magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiyana (sexually transmitted diseases),inayosababishwa na bakteria,virus au fungus wanaopenda ishi sehemu ya maji maji au unyevu unyevu katika mwili ,kama mdomoni,kooni,sehemu za siri au sehemu ya hajakubwa.
Iwapo mtu atakutana kimwili na mtu mwenye maambukizi hapo ni rahisi kuambukizwa. Magonjwa ya zinaa yanampata mwanamke na mwanaume pia kwa njia ya mdomo,uuke au uume.
Magonjwa ya zinaa yapo ya aina tofauti kuna
-
Kaswende
-
Kisonono
-
Gonorea
-
Ukimwi
-
Klamidia
-
Malenge lenge sehemu za siri
-
Dutu za sehemu ya siri
Magonjwa ya zinaa ni hatari kwa afya,
ATHARI NA DALILI ZA MAGONJWA YA ZINAA (SEXUAL TRANSMITTED INFECTIONS)
Kuna aina nyingi za magonjwa ya zinaa kama:-
- Kisonono (Gonorrhoea)
- Chlamydia
- Kaswende (Syphillis)
- Trichomoniasis,
- Pangusa(Chancroid)
- genital herpes
- genital warts.
- nk.
KISONONO (Gonorrhoea) au "Gono" kama wengi wanavyopenda kuuita kwa kifupi. Kisono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukua na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya kupitisha mkojo au mbegu za kiume (urethra), mdomoni na kwenye puru au rectum. Maambukizi mengi kwa wanawake hutokea kwenye shingo ya kizazi
Ugonjwa huu huambukizwa kupitia vitendo vya ngono kutoka kwa mtu aliye na ugonjwa huu utakapojamiiana naye bila kutumia kondomu. Pia mama mjamzito mwenye kisonono anaweza kumuambukiza mwanaye wakati wa kujifungua.
Dalili za ugonjwa huo huanza kujitokeza kuanzia siku ya 2 hadi ya 7 baada ya mtu kupata maambukizi ya ugonjwa huo na huweza kuchelewa kuonyesha dalili hasa kwa wanawake. Dalili za ugonjwa huo ni kama zifuatazo:-
Kwa wanaume ugonjwa wa kisonono:-
- husababisha kuhisi kama kichomi wakati wa kukojoa (burning sensation).
- kutokwa na majimaji ya njano, meupe au ya kijani kwenye uume yanayoambatana na maumivu makali sana.
- wakati mwingine kuhisi maumivu au kuvimba kwa korodani (swollen testicles).
JINSI YA KUPANGILIA NA KUTUMIA MUDA WAKO VIZURI:MAMBO 7 MUHIMU KUZINGATIA
Bila shaka umeshawahi kusikia msemo wa wenzetu wa magharibi usemao “Time is Money”. Yawezekana kwamba msemo huo,kwa tafsiri ya moja kwa moja, unamaanisha kwamba muda ni pesa. Lakini ninavyoelewa mimi msemo huo unaongelea au unajaribu tu kuonyesha jinsi gani muda ni kitu cha thamani! Jinsi unavyoutumia muda wako hivi leo ni ishara tosha ya jinsi kesho yako itakavyokuwa.
Kwa upande mwingine umeshawahi kusikia mtu au watu fulani fulani wakilalamika kwamba “hawana muda” wa kufanya kitu fulani. Sababu itolewayo mara nyingi ni kwamba wapo “bize”. Wapo ‘bize” na ndio maana hawana muda wa kujitolea katika shughuli mbalimbali za kijamii.Ndio maana hawana muda wa kikao cha harusi cha rafiki,ndugu au jamaa.Hawana muda wa kuhudhuria msiba wa mtu. Wapo “bize” na ndio maana hawakuweza kukupigia simu nk.
Sasa inakuwaje mtu mmoja awe na muda na wakati huo huo mtu mwingine asiwe kabisa na muda wakati sote tunaishi kwenye dunia moja na siku ina masaa yale yale 24? Sababu zinaweza kuwa nyingi. Zingine zinaweza kuwa ni za visingizio tu.Zingine zinaweza kuwa za kweli na za uhakika.
Pamoja na hayo,
Jumatatu, 1 Februari 2016
TUPAMBANE NA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI
SAMBAMBA NA HILO MKOA HUU PIA UKO KWENYE VIWANGO VYA JUU VYA NDOA ZA UMRI MDOGO HASWA KWA WASICHANA.
MATUKIO HAYA HUENDANA NA SAMBAMBA NA KUACHA AU KUACHISHWA SHULE KWA WASICHANA HASWA KATIKA MAENEO YA VIJIJINI.
UMASIKINI NA MUAMKO MDOGO WA ELIMU MIONGONI MWA WANAJAMII HUSUSAN KWA VIJINI, VINATAJWA KUWA NI SABABU KUBWA ZINAZOPELEKEA MAMBO HAYO KUENDELEA KUKITA MIZIZI.
KWAKUWA MAMBO HAYA HUAMBATANA NA MASUALA YA NGONO TENA NGONO ZAMBE, HALI YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NA MAGONJWA MENGINE YA NGONO IKO JUU SANA.
TUPAZE SAUTI ZETU, TUOKOE JAMII YETU!!!!!
# INAKUHUSU, INANIHUSU, INATUHUSU!!!












