Jumatatu, 1 Februari 2016

TUPAMBANE NA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI

MKOA WA TABORA UNASHIKILIA NAFASI YA PILI KWA MIMBA ZA UTOTONI IKIWA NA ASILIMIA 58% YA MATUKIO HAYO.

SAMBAMBA NA HILO MKOA HUU PIA UKO KWENYE VIWANGO VYA JUU VYA NDOA ZA UMRI MDOGO HASWA KWA WASICHANA.

MATUKIO HAYA HUENDANA NA SAMBAMBA NA KUACHA AU KUACHISHWA SHULE KWA WASICHANA HASWA KATIKA MAENEO YA VIJIJINI.

UMASIKINI NA MUAMKO MDOGO WA ELIMU MIONGONI MWA WANAJAMII HUSUSAN KWA VIJINI, VINATAJWA KUWA NI SABABU KUBWA ZINAZOPELEKEA MAMBO HAYO KUENDELEA KUKITA MIZIZI.

KWAKUWA MAMBO HAYA HUAMBATANA NA MASUALA YA NGONO TENA NGONO ZAMBE, HALI YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NA MAGONJWA MENGINE YA NGONO IKO JUU SANA.

                                     TUPAZE SAUTI ZETU, TUOKOE JAMII YETU!!!!!
                      # INAKUHUSU, INANIHUSU, INATUHUSU!!!

0 comments: