Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo UKATILI WA KIJINSIA. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo UKATILI WA KIJINSIA. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 18 Mei 2016

11 Arrested In Morogoro In Connection With Rape Case Of A 21 Years Old Girl.

 Police in Morogoro Region, Tanzania are holding two men who were allegedly seen on a video clip raping a woman in turns at a guest house.

Regional Police Commander Ulrich Matei told The Citizen that the suspects were arrested yesterday (May 16, 2016) after the video went viral on social media.

He declined to go into details, saying they were still gathering more information on the incident.
Tanzanians yesterday reacted angrily to the video clip circilated on social media showing two men raping a woman as she pleaded for mercy.

The video went viral, with

Jumatano, 9 Machi 2016

JELA MIAKA 7 KWA KUKATA NYETI ZA MKEWE

Mashaka Maziku (60) mkazi wa kata ya Mbugani  manispaa ya Tabora ambaye alimkata mkewe sehemu za siri kwa imani za kishirikina ili aweze kujipatia  mali amehukumiwa kwenda jela miaka saba.

Mbali ya Maziku mshitakiwa mwingine katika kesi hiyo Kahele Paul aliyekuwa ni mganga wa kienyeji amehukumiwa kwenda jela miaka mitano baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kula njama kwa nia ya kutenda kosa.

Adhabu hizo zimetolewa jana na hakimu mkazi wa mhakama ya mkoa wa Tabora Jackton Rushwela baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka uliokuwa unaongozwa na wakili wa serikali Idd Mgeni.

Hakimu Rushwela alisema anatoa adhabu hiyo ili liwefundisho kwa wananchi wengine wanaokuwa na tamaa ya kujipatia mali kwa njia za kishirikina  huku wakiwasababishia madhara watu wengine.

Awali wakili wa serikali aliiambia mahakama hiyo kuwa washitakiwa walitenda makosa hayo kati ya oktoba 29 na novemba 2/2014 katika eneo la Kazaroho kata ya mbugani mjini Tabora.

Wakati wa tukio hilo ilidaiwa kuwa Maziku aliambiwa na mganga wa kienyeji ambaye ni mshitakiwa wa pili katika shauri hilo kwamba akipeleka sehemu za siri za mkewe atapata shilingi milioni tano.

Maziku baada ya ushauri huo huku akiwa na tamaa ya kujipatia mali alinchukua mkewe (jina linahifadhiwa) na kwenda kunnywesha pombe ili aweze kutimiza ukatili huo wa kijinsia ambao unapigwa vita na dunia nzima.

Upande wa mashitaka ambao ulileta mashahidi wanne waliiambia mahakama hiyo kuwa mshitakiwa baada ya kumnywesha pombe nyingi mkewe alichukua kishu na kumkata sehemu za siri na kuzihifadhi kwenye mfuko wa suruali yake na akatoweka.

Walibainisha kuwa mama huyo alikuwa akipiga kelele kutokana na maumivu makali aliyopata  huku akivuja damu nyingi na aliokolewa na majirani na kumpeleka hospitali  ya mkoa kwa matibabu.

Maziku baada ya kukamatwa na kuhojiwa alikana akidai kwamba yeye aliondoka na kumwacha mkewe akiwa ni mzima lakini ulipofanyika upekuzi nyama ya nyeti hizo zilikutwa kwenye mfuko wa suruali yake.

Upande wa mashitaka uliiomba mahaka itoe adhabu kali kwa washitakiwa kwani vitendo vya ukatili vya aina hiyo kwa ajili ya kujipatia mali vimekuwa  vinawasababishia madhara watu wasiokuwa na hatia.

 **************