Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Jumatatu, 4 Aprili 2016

3 Signs You’re Losing Hope


On the subject of hope, civil rights hero Dr. Martin Luther King, Jr. said, “We must accept finite disappointment, but never lose infinite hope.” This would suggest to me that life will surly deal us all plenty of opportunities to embraced the darkness of hopelessness, but we have to learn to dig deeper to lay hold of an expectation that we are always progressing.
Without this trait, we run the risk of be swallowed whole by the monster of despair.
As a coach I spend a great deal of time empowering clients and sharing the revelation that we are only one decision away from a radical life revolution at any time. That alone in its purest form is a sense of hope. And hope can be a fickled ideal to comprehend. At its root lies the concept that no matter the circumstance, as long as you are alive you can access better days.

How many times have you or someone close to you mentioned a situation was “hopeless”? Too many to count perhaps? The reality is as long as we are aware

Unapojaribiwa Jiandae Kupambana Na Majaribu Hayo!!!

 
Nakuchukua nafasi hii kukukaribisha kwenye ulingo huu wa kujifunza maana kujifunza hakuzeeki, unatakiwa kujifunza siku zote katika maisha yako. Kila kitu unachokiona kinakufundisha jambo fulani, kama hujui kinakufundisha nini ni kwa sababu macho yako hayajafumbuliwa upate kufahamu unachojifunza kutoka kwenye vitu hivyo.
 
Leo nakuletea makala hii kwa lengo la kukufumbua macho yako na akili yako ili uweze kugundua kitu gani kinakukwamisha ili uchukue hatua haraka kulitatua tatizo hilo na hatimaye uendelee vema na safari yako ya kuelekea mafanikio makubwa.

Majaribu ni nini?
Neno majaribu mara nyingi hutumiwa sana kwenye upande wa dini, kuelezea hali ngumu inayompata mtu agharabu kwa lengo la kumjaribu uimara wa imani yake. Kwa kifupi majaribu ni hali au kitu ambacho huwa mzigo mzito unaomwandama mwanadamu. Huko kwenye dini tunaambiwa mtu anapojaribiwa na akalishinda jaribu linalomsumbua hupewa thawabu na Mwenyezi Mungu kama tuzo ya kufuzu mafunzo anayotaka Mungu amfundishe mtu huyo.

Katika makala hii, nataka tulizumgumzie neno

You Precious Angel (Moms and Dads Know)

541702_696151070400769_769360819_n

“Love is what we are born with. Fear is what we learn. The spiritual journey is the unlearning of fear and prejudices and the acceptance of love back in our hearts.
Love is the essential reality and our purpose on earth. To be consciously aware of it, to experience love in ourselves and others, is the meaning of life. Meaning does not lie in things. Meaning lies in us.” ― Marianne Williamson
As she chased me and chased me, with the biggest smile on her precious face, I started to understand. As she joyfully waited for me to stop hiding around the edge of the hallway, to come and swoop her up into my arms, I started to understand, I started to remember. As I held her, and cradled her, and ran around the house carrying her, gently tossing her over my shoulder and into the

Je, Unashindwa Kuongea Mbele Za Watu? Sababu na Suluhisho Zake Zisome Hapa.


Kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kuniuliza, “unapataga wapi ujasiri wa kuongea mbele za watu”? Mbona mimi huwa siwezi?.

Nilimjibu kwa kifupi tu kuwa “mimi huwa siwezi kuongea mbele za watu ikiwa sijui cha kuongea  au sina sababu ya kuongea. Mara nyingi huwa niko kimya mpaka nipate sababu ya kuongea na niwe ninajua ninachotakiwa kuongea”.

Akaniuliza tena, “sasa huwa unapata wapi cha kuongea”?. Nilimjibu “mpaka nipate sababu ya kuongea ndipo nipate cha kuongea”.

Akauliza swali la mwisho akasema “wakati mwingine huwa ninasababu ya kuongea lakini siwezi kabisa kuongea tatizo nini”? Nikamjibu kuwa “tatizo linaweza kuwa ni moja ya sababu zifuatazo au zote kwa pamoja”
.
Sababu zinazokufanya ushindwe kuongea mbele ya watu wengi na jinsi ya kukabiliana nazo.

Sababu ya kwanza: Hujui protocol ( mpagilio wa namna ya kuanza hadi kumaliza)
Kutojua mahali pa kuanzia kuongea mbele ya watu ni sababu

7 Ultimate Steps to Overcome Disappointment


That feeling we get after every failure or unmet expectation is one of the worst feelings we women often experience. Disappointment is a terrible dose of “reality” that hits us like a truck coming out of nowhere. The very reason we experience disappointment is the fact that they we weren’t “expecting” things to happen the way we did.
 
We weren’t expecting to get our application rejected, we weren’t expecting our loved one to hurt us the way they did, or perhaps, we were expecting to succeed in a new experiment. It’s funny how this single feeling provokes a whole new set of negative feelings: anger, frustration, sadness, hurt, and maybe more.
Life is never perfect and we are all bound to make mistakes. As Martin Luther King, once said

Kuwa Tayari Kujifunza Kutoka Kwa Mwingine


Leo nataka nikupe siri kubwa sana kuhusu kila mtu unayekutana naye kwenye maisha yako. kwa kujua siri hii utakuwa umejiweka kwenye nafasi nzuri sana ya kuweza kufanya makubwa kwenye maisha yako.
 
Siri hii ni kwamba kila mtu unayekutana naye kwenye maisha yako, kuna vitu yeye anavijua ila wewe huvijui. Hii ni siri kubwa sana ambayo ukiweza kuitumia vizuri itakunufaisha sana.
 
Kila mtu, awe mkubwa au mdogo, awe amesoma au hajasoma, awe na kazi ya juu au ya chini, kuna kitu anakijua ambacho wewe hukijui, na kitu hiko ni muhimu sana kwa kazi yako, biashara yako au maisha yako kwa

Kila Mtu Ni Mlaji, Lakini Je, Tunazalisha Nini?


Katika kila jambo linaloendelea duniani, kuna makundi mawili ya watu. Kuna walaji na kuna wazalishaji.
Walaji ni wale ambao wanasubiri kitu kitoke na wao waanze kutumia.
Na wazalishaji ni wale ambao wanaangalia kipi kinahitajika na wanakitengeneza kisha kuwapatia walaji.
 
Katika makundi haya mawili wanaonufaika zaidi ni wazalishaji, kwa sababu walaji wanahitaji kuingia gharama kupata kile kilichozalishwa. Kila mmoja wetu ni mlaji kwa vitu fulani, kwa sababu hatuwezi kuzalisha kila kitu sisi wenyewe.
 
Lakini cha kusikitisha kuna wengi ambao siyo wazalishaji, au wanazalisha

Kila Kitu Kina Mwanzo Na Mwisho Wake



Leo katika makala yetu tunakwenda kuangalia dhana muhimu sana ambayo wote tunatakiwa kuielewa kuhusu maisha yetu ya kila siku. Japokuwa tunaijua dhana hii, lakini bado hatujaielewa kwa undani na hivyo kushindwa kuwa na maisha bora na yenye furaha.
 

Ni ukweli usiopingika kwamba hakuna kisichokuwa na mwisho kwenye maisha yetu. Tukianza na maisha yetu yenyewe, yana mwanzo ambapo ni siku tunayozaliwa na yana mwisho ambapo ni siku tunayokufa. Hiki ni kitu ambacho kila mmoja wetu anajua. Lakini kujua tu hivyo haitoshi, bali kuna mengi ya kujifunza hapo ili kuwa na maisha bora na yenye furaha.

JAMBO LA KWANZA; Furaha haipo

Jumamosi, 2 Aprili 2016

Tupaze Sauti Dhidi Ya Ukatili Kwa Watu Wenye Ualbinism, Ni Unyama Usiovumilika!!


Matendo ya Ukatili na Unyama wanavyofanyiwa Watu wenye Albinism, kumeichafua sana nchi yetu!

Vitendo vya kukata viungo vyao na hata kuwaua kabisa kumewafanya nduguzetu hawa kuishi kwa mashaka makubwa kana kwamba hawafai kuishi katika nchi yao wenyewe.

Hakuna amani kwa wat wenye albinism hata katika kile kinachoitwa nchi zenye amani katika Bara la Afrika, na Tanzania ikiwemo, ambako wanazaliwa, wanakua, wanaishi na kufanya kazi! Hata baada ya kufariki dunia, bado ndugu zetu hawa hawapumziki kwa amani kwani makaburi yao hukuliwa na viungo vyao  kuibwa.

Kati ya mwaka 1998 na 2015 Jumla ya matukio 413 ya Mauaji, ukataji wa viungo, kubakwa, utekaji nyara, majaribio ya utekaji nyara, makaburi kufukuliwa na kupotea kwa watu wenye Albinism yalilipotiwa katika nchi 25 za Afrik

Jishughulishe Na Matatizo yako Kwanza!


 
Wakati mwingine Tunapenda sana kushughulika, kuzungumizia, au kutatua matatizo ya wengine. Kila mmoja wetu ana ndoto kubwa ya kutatua matatizo ya dunia, kuibadili dunia, kuifanya dunia kuwa sehemu bora zaidi ya kuishi. Ila haya yote yanawezekana kama hiki kimoja kitafanyika, kuanza kutatua matatizo yako kwanza. Ni lazima uanze na matatizo yako kwanza, uweze kuyatatua, na baada ya kuyatatua ndiyo unaweza
 
kutatua matatizo ya wengine. Kutatua matatizo yako kwanza kunakupa haya mawili muhimu;

1.Kunakupa uzoefu wa jinsi unavyow

Stop Asking Permission To Live Your Best Life


We are free to go in any direction we choose, but for all the choices we have in life it’s amazing how many of us find ourselves in a situation we never would have chosen.

Despite our freedom to make our own decisions many of us fall under the weight of other people’s expectations and as a result live a life we don’t enjoy.
If you can relate to this feeling keep reading because there is hope.


Are you trying to live up to other people’s expectations?
You might think you fall outside this group, but really think about it. What did you study? What career did you choose? Where do you live? What type of car do you drive? How do you s

5 Divorce Mistakes to Avoid Right Now

T�e�e�n�a�g�e� �g�i�r�l� �i�n� �a�r�m�c�h�a�i�r� �i�n� �n�e�w� �h�o�m�e

Although feeling overwhelmed and confused during divorce is normal, remember to avoid the egregious divorce mistakes. It will save you time, money, and your sanity so that you can move on to the next chapter of your life better, not broken or bitter.

1. Not looking at the big picture
One of the reasons why divorce feels horrible is because you probably weren’t taught how to plan ahead in divorce.

It’s funny, isn’t it? Guidance counselors and academic advisers

Uthubutu Ndiyo Funguo Ya Uhakika Ya Mafanikio Yako. THUBUTU!!

Dunia imejaa uchovu mkubwa, kila jambo hapa duniani limejaa furaha yake na huzuni yake. Furaha ya mambo hapa duniani ni kubwa lakini pia huzuni ya mambo hapa duniani ni kubwa zaidi. Watu ni wale wale uwaonao na matendo yao ni yale yale uyaonayo. 

Ukiudhika na kukasirika dunia haitakujua wala ukifurahi dunia haitakufahamu bali itaendelea na taratibu zake tu za kupuliza upepo kutoka mashariki kwenda magharibi ama kutoka kusini kwenda kaskazini. Mito yake na viumbe waliomo vitaendelea na ratiba zake zile zile za kila siku. 

Dunia imejaa uchovu mkubwa. Ukikumbuka sheria na amri za Muumba wetu na ukikumbuka maisha yako yanavyokwenda kinyume na amri hizo nafsi yako inajihisi ni yenye hatia. 

Unakumbuka kwamba tupo hapa duniani kwa kitambo tu? Unakumbuka kwamba yoyote uyafanyayo sasa hapa duniani yatasahaulika na mengine uyakusanyayo watayatawanya punde tu wewe ukiondoka? watagawana gawana wale ambao hawakutolea jasho kama wewe. Unakumbuka au umesahau hilo?

Kunawakati unatafakari lakini hupati majibu, saa nyingine usipoangalia unakata tamaa kabisa kwa jinsi

Mafanikio Hayaonekani Kwa Urahisi, Yatafute Kwa Umakini!!




Hebu Tujaribu Kuona Kama Tunaweza Kujifunza kutokana na Hadithi Ya Shamba La Ekari Tatu Za Dhahabu Barani Afrika

Miaka ya 1930 katika nchi ya Ghana kulikuwa na mzee mmoja alikuwa anashamba la ekari tatu. Bahati mbaya hakujua kama shamba lake limejaa dhahabu. 

Siku moja akaja mgeni kutoka Ubelgiji, alikuwa anazunguka katika nchi za Afrika kuangalia wapi kuna madini kwa ajili ya uwekezaji. Bahati nzuri mgeni huyu akafika kwenye shamba la mzee huyu wa Ghana, alipoliona tu lile shamba alishangaa kuona shamba zima la ekari tatu limejaa dhahabu.  

Kwa lugha ya upole mgeni akamsalimia yule mzee mwenye shamba, kisha mgeni akaanza kumwambia yule mzee, “Laiti ningepata shamba la dhahabu lenye ukubwa wa ekari tatu, ningeweza

Kukosea Ni Kawaida, Kubali na Ujifunze!


 
Unajisikiaje pale mtu mwingine anapokuambia neno hilo? Kwamba wewe umekosea?
Mara nyingi watu wanapoambiwa hivyo kwa haraka sana huanza kupinga, huanza kutafuta kitu cha kujitetea.
 
Kukosea kunauma na hivyo wengi hawapendi kuonekana wamekosea, hata kama ni kweli wamekosea. Badala yake hutafuta kila njia ya kujitetea na kujiondoa kwenye kile ambacho wamekosea.
 
Sasa wewe rafiki yangu usiingie kwenye mkumbo huu, usitake kukimbia kosa lolote ulilofanya, kwa
sababu haitakusaidia, badala yake itakuumiza zaidi.
Kama mtu anakuambia umekosea, badala ya kukimbilia kukataa au kujitetea, mwombe akupe ufafanuzi ni wapi ambapo umekosea. Na weka mawazo yako huru kusikiliza. Usisikilize huku unajiandaa kupinga au kujitetea, bali sikiliza ili kuelewa ni wapi umekosea kweli au ni wapi ambapo watu hawakuelewa vizuri na hivyo kuona wewe ndiye uliyekosea.
 
Kama ni kweli umekosea basi kubali na ahidi kutorudia tena kile ulichokosea. Na kama watu walielewa vibaya basi unaweza kuwaelewesha vizuri ili muweze kwenda sawa. Kwa kufanya hivi utaondokana na ubishani usio wa msingi na pia kujifunza zaidi na hivyo kutokurudia kosa, au kuhakikisha unawaelewesha watu vizuri ili wasikuelewe tofauti.
 
Kukosea siyo mwisho wa dunia, bali ni njia ya kujifunza na kuwa bora zaidi. Na sio mara zote watu watakuelewa kwa kile ulichosema au kufanya.
Hivyo kuwa tayari kujifunza kutokana na makosa yako na kutoa ufafanuzi sahihi kwa wengine.
 

UKWELI NI KWAMBA ni vigumu sana mtu kukubali makosa yake hasa pale anapoambiwa na wengine
kwamba amekosea. Achana na hili na badala yake wasikilizE kwa makini wale wanaokuambia umekosea, nfahamu kuwa kuna mengi sana utajifunza kutoka kwao, iwe umekosea kweli au la.
 
CHUKUA HII
Mistakes are always forgivable, if one has the courage to admit them. - Bruce Lee
 
(Makosa mara zote huwa yanasamehewa kama mtu ana ujasiri wa kuyakubali).
 
Unapokosea usitafute njia ya kutoroka, Kubali makosa yako, jifunze kupitia makosa yako na hakikisha huyarudii tena.