LICHA YA KUWA VITENDO VYA UTOAJI MIMBA NI KINYUME CHA SHERIA NCHINI TANZANIA NA PIA VITABU VYA DINI VINASISITIZA KUWA VITENDO HIVYO NI DHAMBI, LAKINI VITENDO HIVI VINAZIDI KUONGEZEKA SIKU HADI SIKU HUKU WANAFUNZI WA VYUO NA SHULE ZA SECONDARY NDIO WAKITAJWA KUWA NDIO WANAONGOZA KWA UTOAJI WA MIMBA.
The following
galleries show images of two children killed by second trimester abortion. The
photos depict the human effort to assist these children (the hands holding and
reaching out to the children), and the Word of God in the face of abortion (the
cross and the tablets of the commandments).
Baby Malachi, A History
-- New York Lambs of Christ
This little baby boy was found frozen in a jar with three other little children at an abortion mill in Dallas, Texas, in February 1993. There were jars upon jars of frozen children in that abortion mill.
8 comments:
duh! ni hatari sana. kuna njia nyingi sana za kisasa na za kiasili zinazoweza kuzuia mimba zisizotarajiwa!! kwanini hazitumiki mpaka inafikia hatua hii?
inasikitisha sana
mimi lawama zangu ni kwenye vyombo vya dola, hawa madaktari na wauguzi wanaofanya kazi za kuchoropoa mimba wanafahamika lakini hakuna chochote kinachofanyika kuwadhibiti...
Ahsante wadau kwa comment zenu. tunajari kila oni ambalo linatolewa humu, na tunaomba muendelee kutupa maoni yenu.
With thanks
Dennis John Kumwenda - Executive Secretary
kazi nzuri, nimependa blog yenu coz nimejifunza mambo mengi. endeleeni
duuuh jamani jamani hii mbona ni hatari sana, ukatili huu utaendelea hadi lini?
ni aibu sana kuwa mpaka dunia ya leo bado kuna watu hawajui kutumia njia za kuzuia mimba zisizotarajiwa!!!! sasa kama mnapata mimba zisizotarajiwa, vipi kuhusu virusi vya ukimwi na maradhi mengine ya ngono?
Tena mbaya zaidi wanafunzi wa vyuo ndio tunaoongoza katika ukatili huu!!! SHAME!!!
WENGI WA AKINADADA UKIWAULIZA WANASEMA KUWA WANAUME WALIOWAPA MIMBA WAMEWAKATAA, WENGINE WANASEMA ETI WAMEPEWA MIMBA NA WAME ZA WATU, WENGINE WANAOGOPA KUHARIBU FUTURE ZAO. SASA MIMI NAJIULIZA JE MAMBO HAYO YOTE KWANINI HUWA HAWAJIULIZI KABLA YA KUFANYA NGONO ZEMBE??
Jamani jambo lolote ambalo Mungu analikataza hua lina madhara yake.
wasichana wengi wamepoteza uhai na wengine wengi wamekuwa wagumba kutokana na dhambi hii ya kutoa mimba. Tuache ngono zisizo salama jamani.
mabint jiongezeni coz nyie ndio hua inakula kweny kwa uvivu wenu wa kufikiri na tamaa zenu za mambo mazuri. kwenye kustarehe mnakuwa wawili lakini kwenye maumivu unakua peke yako. shtukaaaa
Chapisha Maoni