Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.
Ijumaa, 5 Agosti 2016
Babu Atiwa mbaroni kwa kumbaka mjukuu wake!!!!
Vyama 9 Vya Siasa Kufutwa Tanzania
Mwenyekiti wa mtaa adaiwa kumpa mimba mwanafunzi!!!
MAMBO 6 UNAYOPASWA KUACHANA NAYO LEO ILI USIFE MASKINI
Hichi ni kikwazo kikubwa sana kwa watu wengi katika kuyafikia mafanikio yao, watu wengi wamekuwa masikini na wengine kufa masikini kwasababu ya uoga, uoga wa kukataliwa na uoga wa kushindwa, kama unataka kufanikiwa katika kila kitu kwenye maisha yako usiogope kuomba au kusema chochote mbele ya watu eti kwa kuogopa kukataliwa! Rafiki usiusemee moyo wa
Jumatano, 1 Juni 2016
Kizuizi Cha Furaha Yetu
Kila mtu anapenda kuwa na maisha ya furaha, na ili kupata furaha hii tumekuwa tukikazana kufanya mambo mbalimbali.
Kwa bahati mbaya sana mengi ya mambo tunayofanya tukitarajia kupata furaha, yamekuwa hayatuletei furaha ya kudumu, badala yake yanatuletea raha za muda mfupi ila ukweli unabaki pale pale kwamba hatuna furaha.
Tulishajifunza kwenye moja ya makala kwamba furaha ya kweli inaanzia ndani yetu sisi wenyewe. Inaanzia pale ambapo tunajijua sisi wenyewe, tunajua ni nini hasa tunataka na jinsi gani tunaweza kufikia tunachotaka.
Pamoja na furaha kuanzia ndani yetu sisi wenyewe, kuna kitu kingine ambacho kinaanzia ndani yetu ambacho kinatuzuia kuwa na
Alhamisi, 26 Mei 2016
Jumatano, 25 Mei 2016
Plant Polyphenols Against Heart Disease
Increased intakes of polyphenols (from plants)appear to be highly cardio-protective, according to the results of the international PREDIMED (Prevencion con Dieta Mediterranea) study (Tresserra-Rimbau et al ’14).
In this study of over 7,000 participants, the highest intakes of flavanols, a group which includes proanthocyanidins, catechins and theaflavins, were associated with a 60% reduction in cardio-vascular disease (CVD) risk while the highest average intakes of lignans were associated with a 49% reduction.
This wouldn’t surprise anyone who is familiar with the literature on polyphenols. These phyto-nutrients combine potent anti-inflammatory activity with
Jumanne, 24 Mei 2016
Alhamisi, 19 Mei 2016
Jumatano, 18 Mei 2016
MADHARA YA KUTOA MIMBA
- UNAWEZA KUPOTEZA UHAI
Ukitoa mimba unaweza kupoteza maisha kutokana na ukweli kwamba mara nyingi ndani ya wiki moja baada ya kutoa mimba mwanamke anaweza kuvuja damu sana, au kupata madhara ya dawa za usingizi, mabonge ya damu kwenye mishipa ya damu na mimba iliyotunga nje ya uzazi.
- WATOTO KULEMAA UBONGO
Utoaji wa mimba huaribu mlango wa mfuko wa uzazi kushindwa kushika vizuri na matokeo yake mwanamke huyu hujikuta akizaa kabla ya muda (njiti). Lakini pia watoto hawa wanaozaliwa kabla ya muda maalumu na viungo ambavyo havijakomaa hupata shida ya ubongo na kujikuta wakipata ulemavu wa ubongo maisha yao yote.
- MIMBA NJE YA KIZAZI
Mfuko wa uzazi una utando maalumu
JINSI CD4 INAVYOFANYA KAZI MWILINI
CD ni kifupi cha maneno ya kitaalam, yaani Cluster of Differentiation.
Hii ni aina mojawapo ya kiasili kilichoundwa kwa protini na mafuta (yaani glycoprotein) ambacho kinapatikana juu ya uso wa seli nyeupe za damu zijulikanazo kama Thelper Cells, Regulatory T-Cells, Monocytes, Macrophages na Dendritic Cells ambazo kazi yake kubwa ni kupambana na maradhi mbalimbali.
11 Arrested In Morogoro In Connection With Rape Case Of A 21 Years Old Girl.
Mjane Aliyemwaga Machozi Mbele ya Rais Magufuli Akabidhiwa Nyumba Yake























