Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Jumatatu, 8 Agosti 2016

Magazeti Ya Tanzania Na Nje Leo Jumatatu ya Agosti 8, 2016

Jumapili, 7 Agosti 2016

Wazazi Wamuua Mtoto Wao Kwa Kipigo

MWANAFUNZI aliyekuwa akisoma Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Zimba, Bonde la Ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga, Susana Kauzeni (15) ameuawa baada ya kupigwa na wazazi wake wakimtuhumu kuwa ni mtoro sugu wa shule.

Ofisa Elimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga (Shule za Msingi), Peter Fusi amesema kuwa mwanafunzi huyo alizikwa kijijini humo Julai 23, mwaka huu.

“Baba na mama yake walichangia kumpiga binti yao huyo wakimtuhumu kuwa ni mtoro sugu wa shule pia nyumbani

Serikali Yatangaza Mwongozo Mpya wa Elimu Kuwa Masomo ya Sayansi ni Lazima Yasomwe Na Wanafunzi Wote


SERIKALI imetangaza mwongozo mpya kuwa kuanzia sasa masomo ya sayansi ni lazima kusomwa na wanafunzi wote wanaosoma elimu ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. 
Kwa mujibu wa Sera ya Elimu iliyopo, wanafunzi wanaosoma elimu ya sekondari wanaweza kuchagua aina ya masomo watakayo wafikapo kidato cha tatu na kuacha mengine.

Uamuzi huo ulitangazwa jana mjini Tanga  na Waziri wa Elimu, Teknolojia, Sayansi na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako wakati akizungumza na mamia ya walimu wa elimu ya msingi kwenye

Sakata la Oparesheni UKUTA Lailazimu Tume ya Haki na Utawala Bora Kuandaa kikao cha pamoja kati ya Chadema, CCM na Jeshi la Polisi


Tume ya Haki na Utawala Bora imeandaa kikao cha pamoja kati ya Chadema, CCM, Jeshi la Polisi na taasisi nyingine tatu, wakati joto la Operesheni Ukuta likizidi kupanda kwa viongozi wa Serikali na vyama vya siasa kutoa kauli zinazotofautiana. 

Chadema imetangaza kufanya mikutano nchi nzima kuanzia Septemba Mosi katika operesheni iliyobatizwa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), ikidai Serikali ya Awamu ya Tano inakandamiza haki na demokrasia nchini. 
Kabla ya kikao hicho, viongozi wa upinzani wamekuwa wakisisitiza umuhimu wa kuwapo maridhiano katika suala hilo pamoja na Ukawa kususia vikao vya Bunge vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson, lakini kumekuwa hakuna harakati zozote zaidi ya majibizano. 
Hali hiyo ilizidi baada ya Chadema kutangaza operesheni hiyo ambayo imesababisha viongozi wa Serikali, hasa

Maisha Ni Zaidi Ya Kuwa Msomi. Jiongeze!!!



UNALETA USOMI MTAANI? UTAKUFA MASIKINI..!!
Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa. Katika miji na maeneo yote; wenye majengo ya maana, wenye makampuni makubwa, wenye utitiri wa malori na mabasi, wenye maduka makubwa ni wale wa "darasa la saba” au wale ambao hawakuingia darasani kabisa.

Wasomi wengi wana maisha ya kawaida yaani yale ya kiwango cha kubadilisha mboga, wakijitahidi sana wanaishia kujenga nyumba za kuishi na magari mawili ya kutembelea (tena kwa mikopo!). Wapo wasomi wengi tu wanaoishi kimasikini, kwa lugha ya kistaarabu tunasema wana maisha ya kuungaunga. Kiukweli idadi ya wasomi walio matajiri ni ndogo sana.

Lakini Umasikini wa wasomi wengi umeanzia huko shuleni na vyuoni wanakopatia usomi wao. Madarasani kuna mambo mawili wanafundishwa wasomi

VYAKULA VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME


Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana.

Katika kilele cha mwisho kabisa cha furaha katika maisha ya ndoa, kama inavyofahamika, ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe la ndoa. Hata hivyo, ili furaha ipatikane ni lazima tendo lenyewe lifanyike katika hali ya afya kwa wanandoa.

Nguvu za kiume ni istilahi inayotumika mara nyingi kurejelea ‘uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa kinyume chake, tunasema ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana. Inaweza kuwa ni kujumuisha hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha.

Licha ya hivyo, elimu mhimu kabisa ambayo mwanaume anapaswa kuifahamu ni kuwa, nguvu hizi hazitoki katika madawa ya kemikali au pahala pengine; zinatoka katika vyakula tu.
Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

1. Kitunguu swaumu
Chukuwa punje 8 mpaka 10 za kitunguu swaumu, menya na uzikate vipande vidogo vidogo kisha meza na maji vikombe 2 kutwa mara 2 kwa mwezi mmoja. Pia haki

HASARA ZA KUJIPENDEKEZA.


1. Hauwezi kumkemea huyo unayejipendekeza kwake hata kama anakosea.
2. Unakuwa Mtumwa kwa huyo unayejipendekeza kwake.
3. Unaifanya akili yako ishindwe kuzalisha  matunda maana Unakuwa Tegemezi kwa huyo unayejipendekeza kwake.
4. Utajikuta unakosana NA watu hasa wakimkosoa huyo unayejipendekeza kwake. Maana huntokubali akosolewe mbele yako.
5.Inakufanya kuwa mnafiki  ,Maana hata wewe kwenye uvungu wa moyo wako kuna vitu unaviona havipo sawa lakini  "UNAMEZEA TU " Kulinda kufukuzwa.
6. Inakuharibu kisaikolojia ,hasa pale ambapo  Hautapata kile Ulichokitegemea kwa Huyo unayejipendekeza kwake.
7.Inakufanya Uyanyonge MAONO uliyonayo kwa mikono yako mwenyewe, maana Muda mwingi unatafuta Jinsi ya kumpendeza  Huyo unayejipendekeza kwake. Badala ya kuwekeza Muda wako kwenye MAONO  Binafsi.
8.Kunakufanya Huyo  Unayejipendekeza kwake  awe

Ijumaa, 5 Agosti 2016

Ushuhuda: Nilimlisha Mume Wa Mtu Limbwata La Nyama Ya Bundi.

USHUHUDA  WA   THEOFLIDA  WA  YESU : NILIMLISHA  MUME  WA  MTU, LIMBWATA  LA  NYAMA  YA  BUNDI.

Nawasalimu  wa  jina  la  YESU,  jina  kuu  kupita  majina  yote. Jina  langu  ninaitwa  Theoflida , ni mwanamke  mwenye  umri wa  miaka  38  mkaazi  wa    Mbezi  ya  Kimara  jijini  Dar  Es  Salaam, japo kiasili  ni  mwenyeji  wa  wilaya  ya  Ulanga, mkoani  Morogoro..

Nime amua  kuandika  waraka  huu  kwa  madhumuni  makuu  mawili, kwanza  ni  kushuhudia  MATENDO  MAKUU  ambayo  YESU  AMENITENDEA  na  pili, ni  kuwa  hasa  wanawake  wenzangu  kutojihusisha  kabisa  na   masuala  ya  WAGANGA  WA  KIENYEJI  kwa  sababu  waganga  wa  kienyeji ni  MAWAKALA  WA  KAZI  ZA  SHETANI  HAPA  DUNIANI  na   ni  MASHETANI  KABISA!...

Nitaanza  kwa  kuelezea  kisa  kilicho  nipelekea  kuingia  kichwa  kichwa  kwenye  mikono  ya  wakala  wa  shetani..

Nilikuwa  nimepanga  chumba  kimoja  maeneo  ya  Tabata  Mawenzi  huku  nikijihusisha  na  biashara  ya  genge.  Jirani  na  nyumba  niliyokuwa  nimepanga, aliishi   mwanaume  mmoja  na  mke  wake. Mwanaume  huyu  jina  lake  linaanzia  na  herufi  K  hivyo  katika  maelezo  yangu  nitakuwa  nikimtaja  kwa  herufi  K.

K  alikuwa  ni  mwanaume  mwenye  mafanikio  makubwa  katika  maisha  mwenye  kazi  nzuri.   Alikuwa  na 

Magazeti Ya Tanzania, Leo Ijumaa ya August 5, 2016