Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Tabora New Hope Agency

Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.

Jumatano, 10 Februari 2016

Tanzania's richest 10% own the economy

  The overnment was now taking measures to ensure that most citizens are empowered economically through creating a favourable business environment
Prime Minister Kassim Majaliwa has a word with 
TIB Development Bank managing director Peter Noni (to his right) 
and principal business development officer Allan Magoma.

Prime Minister Kassim Majaliwa yesterday laid bare the scale of economic inequality in Tanzania, saying just 10 per cent of the population owns the country’s entire economy.

Early Pregnancies in Tabora, western Tanzania


Nzega is one of the key districts in western Tanzania with large deposits of precious minerals including gold. The district is also a home of a number of large scale gold mines. Apart from this giant mine there are several small-scale mine sites across the district.
Despite of its social and economic benefits, mining activities in the area and perhaps, the country at large have proved to be fuelling teenage pregnancies as well as school dropouts.
Amina Malingumu is a 16-year-old girl, who is now a mother of one. 
She is one of the victims of small-scale gold mining activities in
Bulangamilwa village of Choma ward, in Nzega district of Tabora Region.
At the age of 15, Amina was being impregnated by a small–scale gold miner in the alluvial gold-rich area. At that age Amina’s parents were preparing to send her to school as she was expecting to join Secondary education in the nearby secondary school, but the

CHILD LABOUR IN THE TOBACCO SECTOR IN TABORA



A research by International Labour Organization (ILO) has revealed a close connection between primary school girls drop-out with child labour in tobacco sector in Urambo District.
 
The research conducted some years ago was to establish the status of primary school girls drop out in relation with tobacco growing in the district while identifying sources and causes of primary school girls drop out. It was also aimed at coming up with diverse strategies for intervention in order to combat the problem of school girls drop out in relation with tobacco growing in the district. 
 
It was found out that there was an increased number of school drop-outs in Urambo and other areas. This situation threatened the future of those children and accelerates social and economic problems in Tanzania, making children vulnerable to illiteracy, impoverishment, HIV/AIDS and other health hazards that demand for immediate changes in policy and legal orientation in order to eliminate the situation. 
 
Earlier reports noted that many children have been involved in worst forms of child labour, where it is estimated that about 82,850 children are employed in the tobacco sector in Tanzania. 
 
The root causes of school girls drop outs lie in the mixture of social and economic conditions including poverty and traditional cultures involving gender discrimination. 
 

Ajira kwa Watoto






Fahamu kuhusu ajira kwa watoto, ni nini sheria inaseme kuhusu ajira kwa watoto na adhabu kwa mtu atakaeajiri watoto katika kazi zake, fahamu pia sheria inamuelezea vipi mtoto, je mtoto ni mtu wa aina gani?



  • Je Sheria za kazi zinamuelezea vipi mtoto?
Kifungu cha 4 cha Sheria ya Ajira na Mahusiano ya Kazi ya mwaka, 2004 kinamuelezea mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 14 isipokuwa kwa ajira zilizo katika sekta hatarishi,  mtoto maana yake ni

Jumatatu, 8 Februari 2016

MSG OF THE DAY

Learn from yesterday, live for today, hope for tomorrow. The important thing is to not stop questioning.-Albert Einstein. 'Good Night'

Jumapili, 7 Februari 2016

UJASIRIAMALI

                                                             
Na Peter Mkufya Stewart
Sehemu iliyopita niliongealea kuhusu muda (Time). Nilieleza ni kwanini muda ni fedha (Time is Money).
Katika makundi makuu ya watu wanaojenga uchumi wa taifa lolote duniani ikiwemo Tanzania yaani Waajiri na Waajiriwa wanaonekana kuishi katika dunia moja na mazingira yanayofanana lakini kila kundi katika matumizi ya muda linasukumwa na malengo tofauri kabisa.

Mwajiri kila kunapokucha muda wake mwingi anawaza na kusukumwa na namna ya kukuza uchumi yaani kuongeza kipato ili aweze kukidhi mahitaji ya wafanyakazi wake, gharama za mtaji na kujijenga zaidi. Hili halimpi usingizi Mwajiri.

Kwa upande mwingine, Mwajiriwa kila kunapokucha anatumia muda wake mwingi kufikiri na kukimbizana na malengo aliyowekewa na Mwajiri ikiwa ni pamoja na kukamilisha vimeo vya kazi vinavyomnyima raha. Kwa hili Mwajiriwa hapati usingizi.

Mwajiri na Mwajiriwa wote wanapewa masaa sawa yaani masaa 24 kwa siku. Tofauti ni malengo na mgawanyo wa matumizi ya masaa hayo kama nilivyo eleza hapa juu.
Huu ni ukuta mkubwa kati ya Mwajiri na Mwajiriwa. Katika hali hii,
Mwajiriwa (mtegemea mshahara) hawezi kuwa mwajiri (Mjasiriamali) mpaka atakapo amua kuruka ukuta huu.

Pasipo kuruka ukuta huu usijidanganye kuwa ipo siku utajikuta umekuwa Mwajiri baadala Mwajiriwa!. Huwezi kupanda spinachi utegemee kuvuna mchicha.
Je ungependa kujua namna ya kuruka ukuta huu salama?.
Je ungependa kuhama kutoka kwenye matumizi ya muda unaojikita katika kukimbizana na kukamilisha vimeo vya kazi na malengo uliyopangiwa kwa muda husika, nakuhamia kundi linalo pambana kuongeza kipato na kiu ya namna ya kupata mapato zaidi badala ya hofu ya majukumu uliyokabidhiwa na mwajiri?.
Umejibu, ndio!. Basi endelea kusoma sehemu inayofuata, ili ikujengee uwezo wa kutumia mbinu hizi.

Jumamosi, 6 Februari 2016

MSG OF THE DAY

Don’t read success stories, you will only get a message. Read failure stories, you will get some ideas to get success-Abdul Kalam. 'Good Night'

WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) WANAUAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA



WATU wenye ulemavu wa ngozi (albino) kati ya 40 hadi 43 wameuawa na watu wasiojulikana katika kipindi kati ya mwaka 2006 na 2014 kutokana na imani mbalimbali ikiwemo ushirikina.
Hayo yamo katika majibu aliyotoa bungeni jana Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Yussuf Masauni alipokuwa akijibu swali nyongeza la Mbunge wa

ASILIMIA 15 YA WANAWAKE NCHINI WAMEKEKETWA - SERIKALI

SERIKALI imesema asilimia 15 ya wanawake nchini wamekeketwa, huku mikoa mitano ikiwa imekithiri kwa vitendo hivyo.
Mikoa hiyo na asilimia ya ukeketaji kwenye mabano ni pamoja na Manyara (71), Dodoma (64), Arusha (59), Singida (51), na Mara (40).
Akizungumzia maadhimisho ya siku ya ukeketaji leo kwa niaba ya waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Sihaba Nkinga alisema vitendo vya ukeketaji bado vimeshamiri nchini.

MOTIVATION BOOK

 Motivation. Action.

Disclaimer 
This e-book has been written to provide information about self improvement. Every effort has been made to make this ebook as complete and accurate as possible. However, there may be mistakes in typography or content. Also, this e-book provides information only up to the publishing date. Therefore, this ebook should be used as a guide - not as the ultimate source. The purpose of this ebook is to educate. The author and the publisher does not warrant that the information contained in this e-book is fully complete and shall not be responsible for any errors or omissions. The author and publisher shall have neither liability nor responsibility to any person or entity with respect to any loss or damage caused or alleged to be caused directly or indirectly by this e-book.

Introduction
Anyone can come up with a goal, but not everyone has the ability to achieve it. For that to happen, you need to take action first. Goals are not like dreams or prayers. You cannot just close your eyes and wish for it to happen. You have to do something. But of course, it does not end there. Certainly, taking the first step toward reaching your goal is the most crucial but

KUKUZA UCHUMI.

                                                              PETER MKUFYA STEWART
Swala la kufanikiwa kimapato (income) si swala la kuwa na elimu kibwa au kufanya kazi miaka mingi. Fikra zako ndizo zinazokupa nguvu na matendo (Actions) ya kiwango cha mapato unayotaka. Wapo watu fikra zao ni kuwa hawawezi kuja kupata milioni 100. Tena ukitaka wakucheke wape mpango wakupata bilioni 1. Wanaona hawastahili. Wamesha amini hawawezi. Matendo yao, kauli zao, marafiki, mtandao wao (Network) n.k, vime ambatana na hisia kuwa hawawezi kujenga

Alhamisi, 4 Februari 2016

UTOAJI MIMBA




LICHA YA KUWA VITENDO VYA UTOAJI MIMBA NI KINYUME CHA SHERIA NCHINI TANZANIA NA PIA VITABU VYA DINI VINASISITIZA KUWA VITENDO HIVYO NI DHAMBI, LAKINI VITENDO HIVI VINAZIDI KUONGEZEKA SIKU HADI SIKU HUKU WANAFUNZI WA VYUO NA SHULE ZA SECONDARY NDIO WAKITAJWA KUWA NDIO WANAONGOZA KWA UTOAJI WA MIMBA.

The following galleries show images of two children killed by second trimester abortion. The photos depict the human effort to assist these children (the hands holding and reaching out to the children), and the Word of God in the face of abortion (the cross and the tablets of the commandments).



                  

Jumatatu, 1 Februari 2016

UKATILI WA KIJINSIA

AINA ZA UKATILI WA KIJINSIA
UKATILI wa kijinsia ni jambo kubwa kwenye ajenda za haki za binadamu kimataifa, na unaweza kuwapata wanaume, wanawake na watoto ambao ndio waathirika wakubwa.
Hali hii inatokana na mifumo mbalimbali iliyopo na uhusiano wa kijinsia ulivyo katika jamii zetu hapa nchini ambapo jinsi moja hujiona ni bora kuliko

No more discrimination!!!!!

No more discrimination!!!!!
Stigma is still HIV's most deadly symptom. We have cheap, easy ways to test for HIV, and ever more effective drugs to treat the HIV virus. We cannot use them if people living with or very vulnerable to HIV are shunned, hidden, or denied their human rights. Compassion cures discrimination. It needs no special training or qualifications, just a belief that all people deserve the chance to protect themselves and others. Without compassion, we cannot create an AIDS free future.

TUPAMBANE NA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI

MKOA WA TABORA UNASHIKILIA NAFASI YA PILI KWA MIMBA ZA UTOTONI IKIWA NA ASILIMIA 58% YA MATUKIO HAYO.

SAMBAMBA NA HILO MKOA HUU PIA UKO KWENYE VIWANGO VYA JUU VYA NDOA ZA UMRI MDOGO HASWA KWA WASICHANA.

MATUKIO HAYA HUENDANA NA SAMBAMBA NA KUACHA AU KUACHISHWA SHULE KWA WASICHANA HASWA KATIKA MAENEO YA VIJIJINI.

UMASIKINI NA MUAMKO MDOGO WA ELIMU MIONGONI MWA WANAJAMII HUSUSAN KWA VIJINI, VINATAJWA KUWA NI SABABU KUBWA ZINAZOPELEKEA MAMBO HAYO KUENDELEA KUKITA MIZIZI.

KWAKUWA MAMBO HAYA HUAMBATANA NA MASUALA YA NGONO TENA NGONO ZAMBE, HALI YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI NA MAGONJWA MENGINE YA NGONO IKO JUU SANA.

                                     TUPAZE SAUTI ZETU, TUOKOE JAMII YETU!!!!!
                      # INAKUHUSU, INANIHUSU, INATUHUSU!!!