Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services in Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.
Tabora New Hope Agency
Is aiming to improve the standard of living of the people in a community by planning on the utilization of the available resources and guiding on the implementation of the plans to achieve the best social services Tanzania.
Alhamisi, 26 Mei 2016
Jumatano, 25 Mei 2016
Plant Polyphenols Against Heart Disease
Increased intakes of polyphenols (from plants)appear to be highly cardio-protective, according to the results of the international PREDIMED (Prevencion con Dieta Mediterranea) study (Tresserra-Rimbau et al ’14).
In this study of over 7,000 participants, the highest intakes of flavanols, a group which includes proanthocyanidins, catechins and theaflavins, were associated with a 60% reduction in cardio-vascular disease (CVD) risk while the highest average intakes of lignans were associated with a 49% reduction.
This wouldn’t surprise anyone who is familiar with the literature on polyphenols. These phyto-nutrients combine potent anti-inflammatory activity with
Jumanne, 24 Mei 2016
Alhamisi, 19 Mei 2016
Jumatano, 18 Mei 2016
MADHARA YA KUTOA MIMBA
- UNAWEZA KUPOTEZA UHAI
Ukitoa mimba unaweza kupoteza maisha kutokana na ukweli kwamba mara nyingi ndani ya wiki moja baada ya kutoa mimba mwanamke anaweza kuvuja damu sana, au kupata madhara ya dawa za usingizi, mabonge ya damu kwenye mishipa ya damu na mimba iliyotunga nje ya uzazi.
- WATOTO KULEMAA UBONGO
Utoaji wa mimba huaribu mlango wa mfuko wa uzazi kushindwa kushika vizuri na matokeo yake mwanamke huyu hujikuta akizaa kabla ya muda (njiti). Lakini pia watoto hawa wanaozaliwa kabla ya muda maalumu na viungo ambavyo havijakomaa hupata shida ya ubongo na kujikuta wakipata ulemavu wa ubongo maisha yao yote.
- MIMBA NJE YA KIZAZI
Mfuko wa uzazi una utando maalumu
JINSI CD4 INAVYOFANYA KAZI MWILINI
CD ni kifupi cha maneno ya kitaalam, yaani Cluster of Differentiation.
Hii ni aina mojawapo ya kiasili kilichoundwa kwa protini na mafuta (yaani glycoprotein) ambacho kinapatikana juu ya uso wa seli nyeupe za damu zijulikanazo kama Thelper Cells, Regulatory T-Cells, Monocytes, Macrophages na Dendritic Cells ambazo kazi yake kubwa ni kupambana na maradhi mbalimbali.
11 Arrested In Morogoro In Connection With Rape Case Of A 21 Years Old Girl.
Mjane Aliyemwaga Machozi Mbele ya Rais Magufuli Akabidhiwa Nyumba Yake
Jumanne, 17 Mei 2016
Jumatatu, 16 Mei 2016
Woman Gives Birth On Grass After Hospital Rejected Her Over Bills (Photos)
The hospital then refused to attend to her and shut their doors on her. While outside the
Chanzo Cha Mafanikio Na Furaha Kwenye Maisha
Habari za leo rafiki na ndugu yangu?
Karibu kwenye kipengele chetu hiki cha FALSAFA YA MAISHA. Tumeshajifunza sana kuhusu furaha na vyanzo vya furaha kwenye maisha yetu. Hivyo kwa sasa nategemea utakuwa na mafanikio na furaha, kwa sababu ni maisha ya mafanikio na furaha ndiyo maisha bora kuishi.
Lakini kwa bahati mbaya sana wengi bado hawana mafanikio wala furaha. Wanaishi maisha ya kupita tu kama wanasubiri kitu fulani, hawapati kitu hiko na maisha yao yanazidi kuwa magumu. Leo tutakwenda kuviangalia vitu hivi viwili kwa pamoja, ili tuone njia bora ya kuwa navyo vyote kwa pamoja ili tuwe na maisha bora.
Maisha bora yanaanza na sisi wenyewe na kwa kupitia falsafa hii mpya ya maisha kila mmoja wetu ataweza kuwa na maisha bora sana kwake.
Mafanikio.
Mafanikio kwa lugha rahisi ambayo kila mtu anaweza kuielewa na kuifanyia kazi ni kupata kile ambacho unakitaka. Hivyo mafanikio yoyote yanaanza na hitaji au ndoto au malengo.
Ambapo unapanga kupata kitu fulani ambacho ni muhimu kwako au kinahitajika ili maisha yako yaweze kwenda vizuri. Baada ya kujua hiki unachokitaka sasa unakifanyia kazi, unaweza juhudi kubwa kuhakikisha unapata hiki unachokitaka. Na pale unapokipata ndiyo mafanikio.
Elewa vizuri hapo ya kwamba mafanikio ni
Jumatano, 11 Mei 2016
Usikubali Mambo Madogo Yakuharibie Siku Yako!!!
Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu?
Maisha bila ya falsafa ni sawa na bendera iliyotundikwa. Bendera hii haina maamuzi yoyote, bali hufuata uelekeo wa upepo. Hakuna hatari kubwa ya kuishi kama kukosa falsafa ya maisha yako. kwa sababu utajikuta unafanya vitu ambavyo hujui kwa nini unafanya, na vibaya zaidi unapoteza muda na kukosa vile ambavyo ni vya msingi sana kwenye maisha yako. Ndiyo maana ni muhimu sana kujijengea falsafa ya maisha ambayo itatuongoza kwenye nyakati zote za maisha yetu.
Karibu tena leo tunakwenda kuangalia eneo dogo sana na la maisha yetu lakini linalobeba maana kubwa sana. Eneo hili ni yale mambo madogo madogo yanayotokea kwenye maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kuyaona ni madogo, lakini yanahusika sana kwenye jinsi maisha yetu yanavyokwenda.
Siku zetu huwa zinaanza vizuri sana, tukiwa na matarajio mazuri sana, mpaka pale inapofikia hatua sisi wenyewe tunaharibu siku zetu. Nina imani umewahi kumaliza siku zako nyingi ukiwa na msongo wa mawazo, ukiwa na hasira na ukiwa unajisikia vibaya au hata kukata tamaa kabisa, si ndiyo?
Sasa naomba nikuulize swali moja, katika siku hizo, je uliamka asubuhi ukajiambia ya
Jumatatu, 9 Mei 2016
How To Deal With Setbacks. A Fool-Proof Strategy To Get You Back On Track
Let your mind drift for a moment… You’re in a perfect place—a place where every morning you wake up feeling confident, ready to take on the world and win. In this place, everything always works out. Struggling to imagine that? Yep, me too.
Life doesn’t always go according to plan. It has its ups and downs. If you’re not careful, the ‘downs’ can force you onto a slippery slope of negativity and low self-esteem. Setbacks happen. You need to deal with them quickly to prevent negative thinking from taking over. So how do you that? Having a strategy will help.
Some time ago, while I was in the Armed Forces, I was invited to spend a week submerged at sea in one of the Royal Navy’s Nuclear Submarines.
Epukana Na Jambo Hili Ili Uwe Na Furaha Kwenye Maisha
Habari za leo mwanafalsafa ya maisha?
Ni matumaini yangu unaendelea vyema sana, huku ukijijenga falsafa mpya na bora sana ya maisha yako. Naendelea kukukumbusha kwamba unahitaji kujenga falsafa mpya ya maisha yako kwa sababu maisha uliyopokea kwenye jamii hayana falsafa. Watu wanaishi kama wanavyowaona wengine wakiishi na hili limeleta changamoto kubwa kwa jamii nzima.
Tunazungumzia sana furaha kwa sababu huu ndio msingi wa maisha yetu, bila ya furaha maisha yanakuwa magumu sana na hatuwezi kufikia kile ambacho tunakitaka. Na hapa kwenye furaha ndipo penye changamoto nyingi sana, kwa sababu kwa kiasi kikubwa hatuielewi furaha ya kweli tunawezaje kuipata.
Tulishajifunza kupitia falsafa hii mpya ya maisha ya kwamba furaha haitokani na vitu, hakuna kitu au mtu yeyote anayeweza kukuletea
Namna Ya Kudhibiti Fikra Zako!
Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu?
Karibu leo tunakwenda kuangalia njia ya uhakika ya kudhibiti Fikra zetu ili kuwa na uhuru na maisha yetu.
Kitu muhimu sana tunachotaka kwenye maisha yetu, ili tuweze kuyafurahia na tuweze kufanya yale yanayotupeleka kwenye mafanikio makubwa ni uhuru. Uhuru ndiyo hitaji la msingi la kila binadamu, lakini siyo wote tumeweza kuwa na uhuru. Pamoja na kwamba tunaishi kwenye nchi huru, lakini bado wengi maisha yao yamefungwa. Na vifungo hivi vinaanzia sehemu moja muhimu ambayo ni fikra zetu.
Hakuna kitu kina nguvu kwenye maisha yako kuzidi fikra zako. Kile unachofikiri kwa muda mrefu ndiyo kinachotokea kweny
Ijumaa, 6 Mei 2016
You Don't Belong Here!
Urinary Problems
Many men experience urinary changes as they age. In many cases, these changes do not need specific treatment.
For problems such as blood in the urine, pain on urination, inability to urinate or uncontrollable urine flow, you should see your doctor promptly.
Many men experience urinary symptoms as they age, which may be caused by inflammation of the prostate gland (prostatitis). In the older male, symptoms may be the result of a blockage in the tubes due to a benign (non-cancerous) enlargement of the pro
EXCLUSIVE:KICHWA CHA BINADAMU CHAPANDIKIZWA KWA MTU MWINGINE
Maajabu hayakomi, nakila siku juhudi za wataalamu wa mabo mbalimbali kuvumbua mambo zinaendea.
Dk. Canavero ambaye mpaka sasa ameshapata mtu wa kujitolea kufanya zoezi hilo, kijana mwenye asili ya Urusi ambaye ni mtaalam wa software Valery Spiridonov, ambaye ana tatizo la kupoteza nguvu kwa misuli yake ya mwili.
“Ningesema tuna takwimu nyingi zinaendelea, ni muhimu kwa watu kuacha kufikiria jambo hili sio rahisi, hii inawezekana kabisa na tunaendelea kulifanyia kazi”, alisiki
Jumatatu, 2 Mei 2016
Take the Road Less Traveled
“Enter through the narrow gate. For wide is the gate and broad is the road that leads to destruction, and many enter through it. But small is the gate and narrow is the road that leads to life, and only a few find it.” – Matthew 7:13-14In life, we are faced with decisions each day, some that are easy, and some that may be very difficult. The decisions we make and how we choose to deal with individual circumstances determines which road we are traveling. Remaining on the narrow road takes a great deal of thought, concentration, and dedication. An important step in the ongoing process of personal development is to be able to discern between the broad road and the narrow road, and then choose th
Here Are 8 Early Symptoms of Liver Damage! 3 Ideal Liver Detox Mixtures You Should Try
Causes for liver damage
-Inherited disorders of iron and copper metabolism
-Diseases like liver cancer and fatty liver caused by obesity
-Various viruses including many typee of hepatitis
-Reactions to certain medications
-Overuse of certain medications
-Exposure to harmful chemicals
-Diabetics have an increased risk of liver disease
-Even smoking can dramatically increase the risk for not only lung cancer, but also liver cancer.
8 Early Symptoms of Liver Damage
NauseaThe feeling that you have to vomit is not welcomed by anyone, ever for that matter and those suffering from liver sickness experience it
How Chris Beat Cancer!!!!!
I Juiced to Beat Cancer and Turned Orange!
Our modern processed food diet has left our bodies starving for nutrients at the cellular level. Juicing is the best way to extract massive amounts of nutrients from vegetables; without having to sit down and eat several pounds of vegetables per day.
Let’s review the digestive process, shall we?
When you chew food you are essentially juicing it in your mouth. You are breaking it down into liquid form, and breaking open the cell walls, so the nutrients can be absorbed by your body. The particles that cannot be broken down by your teeth or by your digestive system, pass through. The better you chew your food before you swallow, the more nutrients you are able to absorb.
A major component of my anti-cancer diet was drinking eight 8 oz glasses of freshly juiced organic carrot and vegetable juice every day.
My strategy was to eliminate all processed food from my
Woow!! Mother beats cancer with JUICING after told she only had two weeks to live
If you had two young siblings, a girl of six and a boy of five, they would definitely be your main concern, so much so that you couldn't imagine life without them. But what if you were told that you had stomach cancer? That it had spread to your lymph nodes, neck and almost all of your abdomen and you may have less than a month to spend with your children and husband?
A woman who refused to give up
This was the case of Natasha Grindley, a 37-year-old mom from Liverpool whose condition was deemed terminal by hospital doctors. In July 2014, healthcare advisers told Natasha that it was very possible that she would die before the end of the month. However, as a mother of two young siblings, she felt that she was yet to be beat. While doctors were hesitant to call the illness for what it was, the nursery teacher accepted her diagnosis and, together with her husband, startedTatizo la Ugonjwa wa Akili na aina ya Ugonjwa huo
Kwa mujibu wa Wataalamu hao, ugonjwa huo huathiri uwezo wa mtu wa kufikiri, kudhibiti hisia na tabia yake, ikilinganishwa na mtu ambaye hajaathirika kwa ugonjwa huo, hali inayomfanya ashindwe kufurahia uhusiano mzuri na binadamu wenzake, ikiwa ni pamoja na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha.
Tafiti mbalimbali za magonjwa ya akili, zinabainisha kwamba ugonjwa huo hutofautiana kutegemeana na muda na kadiri ambavyo mtu ameathirika na aina ya ugonjwa wenyewe huo.
Kwa mujibu wa tafiti hizo, ugonjwa huo wa akili unaweza kuwapata watoto na watu wazima wa jinsia zote, matajiri na masikini, na bila kujali kiwango chochote cha elimu. Hata hivyo, mtu mwenye ugonjwa wa akili akipata tiba sahihi anaweza akapona kabisa na kuendelea na ma
Sababu Na Tiba Ya Muwasho Sehemu Za Siri
KUWASHWA sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani kujumuisha maradhi ya uke kwa wanawake au muwasho na kuvimba kwa sehemu za siri za wanaume (jock itch). Bila kujali jinsia muwasho unaweza kusababishwa na ugonjwa wa ngozi, magonjwa ya zinaa au mzio (allery).
Kuwashwa makalioni hutokea pale ngozi inayozunguka njia ya haja kubwa inapokereketa ikiambatana na hamu ya kutaka kupakuna, muwasho huongezeka pale unapokaa na kukiwa na unyevunyevu. Aidha, sababu kuu za kuwashwa kwenye makalio ni kutojisafisha vizuri, kula vyakula vyenye viungo vingi sana, kuhara, vidonda kwenye njia ya haja kubwa, maambukizi ya fangasi, bawasiri (hemorrhoids), minyoo na kadhalika.
Watu wengi wamekuwa na tatizo la muwasho sehemu za siri unaosababishwa na kitu flani na huisha wenyewe baada ya kitu hicho kikiondolewa, vitu vingine